M MINOCYCLINE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 8,018 Reaction score 16,802 Apr 24, 2022 #1 Mwisho wa Msimu wa Ligi Kuu hii ya NBC nisiposikia amepewa Tuzo sitawaelewa TFF. Leo amechezesha vyema na kwa Haki.
Mwisho wa Msimu wa Ligi Kuu hii ya NBC nisiposikia amepewa Tuzo sitawaelewa TFF. Leo amechezesha vyema na kwa Haki.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Apr 24, 2022 #2 Mnafiki katika ubora wako,mtafute Julio kesho niwapeleke Mtaa wa Kongo kuwanunulia Vijora vya Kisomali.
Mnafiki katika ubora wako,mtafute Julio kesho niwapeleke Mtaa wa Kongo kuwanunulia Vijora vya Kisomali.
M Mtanzanias JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 1,747 Reaction score 3,725 Apr 24, 2022 #3 MINOCYCLINE said: Mwisho wa Msimu wa Ligi Kuu hii ya NBC nisiposikia amepewa Tuzo sitawaelewa TFF. Leo amechezesha vyema na kwa Haki. Click to expand... Ndo ivyo wameshaona yanga aizuiliki ata wakiibeba timu nyingine wanakuwa wanapoteza muda wao kwaiyo wameona ni bora wasimamie sheria 17
MINOCYCLINE said: Mwisho wa Msimu wa Ligi Kuu hii ya NBC nisiposikia amepewa Tuzo sitawaelewa TFF. Leo amechezesha vyema na kwa Haki. Click to expand... Ndo ivyo wameshaona yanga aizuiliki ata wakiibeba timu nyingine wanakuwa wanapoteza muda wao kwaiyo wameona ni bora wasimamie sheria 17
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 Apr 24, 2022 #4 MINOCYCLINE said: Mwisho wa Msimu wa Ligi Kuu hii ya NBC nisiposikia amepewa Tuzo sitawaelewa TFF. Leo amechezesha vyema na kwa Haki. Click to expand... Attachments yusuphmkule_~tv~Ccs4_urqQXq~1.mp4 1.2 MB
MINOCYCLINE said: Mwisho wa Msimu wa Ligi Kuu hii ya NBC nisiposikia amepewa Tuzo sitawaelewa TFF. Leo amechezesha vyema na kwa Haki. Click to expand...
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 2,987 Reaction score 1,954 Apr 24, 2022 #5 Amechezesha vizuri ila vibendera walizingua. Kuna off side tatu za uongo