Kwanini asimuachie Mama Samia Suluhu ili atuvusheNyie chadema kila Kitu kulalamika, Subirieni October tuwafute
Huu ni ujinga kuamini kila mwenye mawazo tofauti ni chadema!!! Of course kuwa chadema si kosa nchini mwetu ila walafi wa keki ya nchi mnadhani kila atakaewasema ni chademaNyie chadema kila Kitu kulalamika, Subirieni October tuwafute
Ebu fikirieni kufuta ukoloni unaoendelea nchini achana na chademaNyie chadema kila Kitu kulalamika, Subirieni October tuwafute
Wewe bibi unalialia na sukari kwani lazima unywe chai?Knockout! View attachment 1446100
Subirini baada ya miaka 100 ndiyo tunafikiria kuikabithi nchi kwa saccosEbu fikirieni kufuta ukoloni unaoendelea nchini achana na chadema
Mimi ni mnyoofu ndugu yng ila mnaofaidi keki ya taifa mnaona kama nawakera!! Kuleni tu wakuu msiwe na hofu wananchi mshawafanya wananchi wanyonge hawana ubavuUtakufa na stress wewe fisadi mkubwa! Huna chakufanya wewe kimburu!
Mnafurahia nini kuongoza watu maskini wa kutupa!!!? Alafu kumbe kuandika hujui eti" kuikabithi"!!!Subirini baada ya miaka 100 ndiyo tunafikiria kuikabithi nchi kwa saccos
Wakati gani?Vumilia tu mkuu, utakula mbivu zako wakati mwafaka ukifika.
Just typing error! Too minor bob!!Mnafurahia nini kuongoza watu maskini wa kutupa!!!? Alafu kumbe kuandika hujui eti" kuikabithi"!!!
Nyie chadema kila Kitu kulalamika, Subirieni October tuwafute