Nasikitishwa sana na majibu ya dharau ya Rais Magufuli kwa Watanzania

Nasikitishwa sana na majibu ya dharau ya Rais Magufuli kwa Watanzania

.
FB_IMG_15890502447690498.jpg
 
Hu

Huu ni ujinga kuamini kila mwenye mawazo tofauti ni chadema!!! Of course kuwa chadema si kosa nchini mwetu ila walafi wa keki ya nchi mnadhani kila atakaewasema ni chadema
Hii ndiyo indicator kuu ya mafanikio ya chadema katika kubadilisha mindset ya watu
 
Yani majibu kama haya ni ya dharau sana kwa watu makini! Anasahau kwamba sisi hatuna shida na maiti yake akishakufa tunaweza kumtupa hata baharini samaki wapate chakula.
 

Attachments

  • 2290790_VID-20200130-WA0004.mp4
    613.4 KB
Wananchi wapi? Watz wameshawadharau sana tu hawana mpango na nyinyi ndiyo maana kila mnachopanga kinadunda!

Ingekuwa hivyo tusingeona mabox ya kura yakitolewa vituoni mbele ya vyombo vya dola na tume ya uchaguzi, kwenda kujazwa kura za ccm. Tusingeona wasimamizi wa uchaguzi wakifunga ofisi na kufanya hujuma za wazi ili wagombea wa upinzani wasishiriki uchaguzi. Uhayawani, ukatili na ushenzi wa wazi kwenye chaguzi zetu hivi sasa kila mtu anaujua, ndio maana mnaona wananchi wenye akili timamu wamepuuza huu ushenzi uitwao uchaguzi.

Mlichobakiwa nacho sasa hivi ni kupandikiza hofu, kudhibiti vyombo vya habari, na kutumia kundi la watu wasiojulikana ili kuua, kutia vilema wale wote wenye itikadi tofauti, na kisha kulisha wananchi maneno kuwa wanaikubali ccm. Ukweli ni kuwa sasa hivi mnaendesha siasa za kishenzi zilizokuwa nchi za ulaya mashariki, na za kidictator kutawala watu bila ridhaa yao.
 
Watu wanashangaa kwanini anahamisha makazi ya Rais kwenda anakotaka yeye anajibu" kwani nikifa nitazikwa wapi?”

Yani majibu kama haya ni ya dharau sana kwa watu makini! Anasahau kwamba sisi hatuna shida na maiti yake akishakufa tunaweza kumtupa hata baharini samaki wapate chakula.

Rais Magufuli nilikuwa nampenda sana ila anachokifanya kuongoza nchi utadhani ni mali ya familia yake nimetokea kumchukia sana.

Anawatesa watumishi wa umma, anawatesa wapinzani wake, anaamua atakacho kwa sababu anajua Watanzania ni wanyonge kama anavyowaita.

Mungu wapiganie Watanzania, wanaburuzwa, mwenye nguvu anawatesa sana. Rais Magufuli nakuombea ubadilike, wewe ni binadamu siyo Mungu
Ni malaika mkuu mtarajiwa
 
Wananchi wapi? Watz wameshawadharau sana tu hawana mpango na nyinyi ndiyo maana kila mnachopanga kinadunda!
Mmejaliwa maneno ya kujifariji, ndivyo wanavyokuwa madictator na wafuasi wao. Kwa Sadam, Idi Amin, Gadhafi, Bokasa. Utakapoamini utakuwa umeshachelewa. Amen
 
Rais wetu jembe anachapa kazi, tumshikilie Rais wetu maana MaRais kama hawa magenious huja mara chache sana, ikiwezekana 2025 tumuongezee tena 10yrs mbele..
 
Nyie chadema kila Kitu kulalamika, Subirieni October tuwafute
Mkuu ninyi mna ubia na Mungu nini?? Una uhakika gani mtafika Oct. salama?? Acheni kuwadharau Watz wenzenu kisa madaraka.

Wenyewe wameshajiandaa kisaikolojia kwa lolote liwalo na liwe. Tizama wamejitenga tu Mjengoni kwa wiki mbili mkaanza kuhaha wakati mnaelew fika kuwa mnahitaji mbaki peke yenu au na mamluki wenu.

Tunamuamini Mungu na hakika atatenda jambo kabla ya Oct. Yeye hana ubaguzi kama tulivyo binadamu. Yeye ana nguvu kuliko chupa ya Madagascar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba utueleze namna mtu anavyoweza kuwekeza kwenye watu pasi na vitu, achana na stori za mshahara maana haijawahi kukidhi mahitaji yote ya watumishi.
 
Pole sana wakati mwanzo unampenda magufuli mimi nilikuwa namchukia.
Leo imekuwa vice versa.
ndivyo maisha yalivyo.
Hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.
KWA HYO VUMILIA TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom