Nasikitishwa sana na majibu ya dharau ya Rais Magufuli kwa Watanzania

Nasikitishwa sana na majibu ya dharau ya Rais Magufuli kwa Watanzania

Mkuu naomba utueleze namna mtu anavyoweza kuwekeza kwenye watu pasi na vitu, achana na stori za mshahara maana haijawahi kukidhi mahitaji yote ya watumishi.
Jibu ni rahisi mno japo sifahamu uwezo wako wa kuchambua mambo. Kama Serikali ingewekeza kwenye kilimo cha Miwa na kuhakikisha kunajengwa kiwanda cha sukari unafikiri ingezalisha kiasi gani cha ajira?? Je leo tungekuwa tunakimbizana na nusu kilo ya sukari??
Sihitaji kuendelea kwani nilishasema sifahamu uwezo wako wa kuchambua mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hu

Huu ni ujinga kuamini kila mwenye mawazo tofauti ni chadema!!! Of course kuwa chadema si kosa nchini mwetu ila walafi wa keki ya nchi mnadhani kila atakaewasema ni chadema

Unafikiri huyo anakula keki ya taifa? Huyo ni mpuuzi tu asiyejua lolote. Umuhurumie
 
Stress zitakuua wewe bwege. Sisi tuko bar tunapata bia mbili tatu wewe unahangaika na CCM chama dume!!

CCM ina wenyewe Wazee waliokua wanatanguliza maslahi ya Taifa Mbele na Mifano hai ya Viongozi wenye utu na upendo kwa Wengine, sio nyie wazee wa kutukuza hata maovu kisa njaa..

Uwepo wako bar muda huu Ni ushahidi tosha kuwa haupo serious na Maisha yako..
We lewa mi nipo najifukiza huku nashushia Madagascar's Covid liquor
 
Jibu ni rahisi mno japo sifahamu uwezo wako wa kuchambua mambo. Kama Serikali ingewekeza kwenye kilimo cha Miwa na kuhakikisha kunajengwa kiwanda cha sukari unafikiri ingezalisha kiasi gani cha ajira?? Je leo tungekuwa tunakimbizana na nusu kilo ya sukari??
Sihitaji kuendelea kwani nilishasema sifahamu uwezo wako wa kuchambua mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unazungumzia kiwanda "kitu" ambacho kinaweza kumgusa"mtu" .sasa hoja yako ya kukosoa serikali ni ipi mkuu.
 
Mie naongezea kwa kumwambia Mwenyekiti na raid wangu,maendeleo ni ya watu na sio vitu haya maendeleo ya vitu ni polepole ndio maana kila miaka 5 wanachaguliwa watu.

Hali ya uchumi ikiwa tight sana,madhara take ni Mkubwa ikiwemo watu kupoteza maisha.MTU akiwa na chakula akishiba maendeleo mengine yatakuja automatic-namsihi Katika muhula wake wa pili kama ataendelea kuongoza awekeze Katika maisha ya watu na sio vitu.
Badala ya kumwachia muhula wa pili basi tufikirie kumbadilisha na kumweka mtu mwingine/chama kingine la sivyo tusilalamike.
 
Akasisi said:
Watu wanashangaa kwanini anahamisha makazi ya Rais kwenda anakotaka yeye anajibu" kwani nikifa nitazikwa wapi?”

Yani majibu kama haya ni ya dharau sana kwa watu makini! Anasahau kwamba sisi hatuna shida na maiti yake akishakufa tunaweza kumtupa hata baharini samaki wapate chakula.

Rais Magufuli nilikuwa nampenda sana ila anachokifanya kuongoza nchi utadhani ni mali ya familia yake nimetokea kumchukia sana.

Anawatesa watumishi wa umma, anawatesa wapinzani wake, anaamua atakacho kwa sababu anajua Watanzania ni wanyonge kama anavyowaita.

Mungu wapiganie Watanzania, wanaburuzwa, mwenye nguvu anawatesa sana. Rais Magufuli nakuombea ubadilike, wewe ni binadamu siyo Mungu
Hakika hayo maneno hayapaswi kutolewa na Mkuu wa nchi

Ukiona hivyo huyo Mkuu wa nchi yuko "frustrated & confused"
 
Mtaifuta cdm kwa matumizi mabaya ya madaraka, ila sio kwa njia ya kura. Hicho kichwa hakina uwezo wa kuifuta cdm, bali kinaweza kujivunia madaraka yanayopatikana tu kupitia katiba mbovu.
Huyo Magu ana-abuse power........

Anaamini kuwa Jeshi la Polisi ni Mali yake binafsi!
 
Badala ya kumwachia muhula wa pili basi tufikirie kumbadilisha na kumweka mtu mwingine/chama kingine la sivyo tusilalamike.
Bila kuukata mti na kung'oa mizizi yake yote; haya malaana hayatakoma...!!
Mti hapa ni ccm...!!
 
Sio tu dharau bali majibu ya kijinga ya kijiweni kwa wanywa kahawa pale chato
 
Mie naongezea kwa kumwambia Mwenyekiti na raid wangu,maendeleo ni ya watu na sio vitu haya maendeleo ya vitu ni polepole ndio maana kila miaka 5 wanachaguliwa watu.

Hali ya uchumi ikiwa tight sana,madhara take ni Mkubwa ikiwemo watu kupoteza maisha.MTU akiwa na chakula akishiba maendeleo mengine yatakuja automatic-namsihi Katika muhula wake wa pili kama ataendelea kuongoza awekeze Katika maisha ya watu na sio vitu.
Hapo ndio umeharibu kabisa, kwanini unamshauri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanashangaa kwanini anahamisha makazi ya Rais kwenda anakotaka yeye anajibu" kwani nikifa nitazikwa wapi?”

Yani majibu kama haya ni ya dharau sana kwa watu makini! Anasahau kwamba sisi hatuna shida na maiti yake akishakufa tunaweza kumtupa hata baharini samaki wapate chakula.

Rais Magufuli nilikuwa nampenda sana ila anachokifanya kuongoza nchi utadhani ni mali ya familia yake nimetokea kumchukia sana.

Anawatesa watumishi wa umma, anawatesa wapinzani wake, anaamua atakacho kwa sababu anajua Watanzania ni wanyonge kama anavyowaita.

Mungu wapiganie Watanzania, wanaburuzwa, mwenye nguvu anawatesa sana. Rais Magufuli nakuombea ubadilike, wewe ni binadamu siyo Mungu

sidhani hata kama ulipiga Kura
 
Kumbe unazungumzia kiwanda "kitu" ambacho kinaweza kumgusa"mtu" .sasa hoja yako ya kukosoa serikali ni ipi mkuu.
Serikali haina vipaumbele vya Taifa. Yaani nn tunahitaji kwa sasa. Mf badala ya kukimbilia kununua ndege tungeanza na viwanda vyenye kuzalisha ajira kwa wingi na faida kwa Serikali. Kisha faida ile itumike baadae kununua ndege. Badala kukimbilia kujenga ukata kule Mirerani tungefufua kiwanda cha magurudumu kilichoko kule kule Arusha. Au kingine kipya popote pale nchini. Faida ile pia tukazungushe ukuta kule Mirerani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF members kila uchwao mnamnanga then mnataka heshima? Heshima haiombwi? BTW you do not have an iota of what is cooking.
 
Waziri wake anajua anazingua
20200510_234631.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom