Hamia kwenu MoshiDar hamna vitunguu Wala sukari
Hamia kwenu MoshiDar hamna vitunguu Wala sukari
Nyie chadema kila Kitu kulalamika, Subirieni October tuwafute
Stress zitakuua wewe bwege. Sisi tuko bar tunapata bia mbili tatu wewe unahangaika na CCM chama dume!!Acha Pombe wewe.. Analalamikiwa mwingine unachanganya vingine, kwani umeambiwa huyo Raisi Ni wa CCM peke yake.. ushangai hata COVID-19 inaua wabunge na Viongozi wa CCM peke ake.. Kuna siku CCM itangoka pia na mizizi yake, Alafu Mali zetu Watanzania tutazirudisha hata Kama kutoka kwa Vitukuu vyenu.. Vizazi vyenu vitaishi kwa aibu na Makaburi yenu yatasahaulika Kama ya Wanyanganyi na Wevi.
Vipi ushalipwa malimbikizoNyie chadema kila Kitu kulalamika, Subirieni October tuwafute
Kwetu NyambitilwaHamia kwenu Moshi
Inafutika October tunairudisha NCCRMtaifuta cdm kwa matumizi mabaya ya madaraka, ila sio kwa njia ya kura. Hicho kichwa hakina uwezo wa kuifuta cdm, bali kinaweza kujivunia madaraka yanayopatikana tu kupitia katiba mbovu.
Ndiyo wapi huko?Kwetu Nyambitilwa
Mmemkumbuka mwigulu ili awassaidie kuchakachua kura vipi na wengine waliowasaidia ushindiSubirini baada ya miaka 100 ndiyo tunafikiria kuikabithi nchi kwa saccos
Hu
Huu ni ujinga kuamini kila mwenye mawazo tofauti ni chadema!!! Of course kuwa chadema si kosa nchini mwetu ila walafi wa keki ya nchi mnadhani kila atakaewasema ni chadema
Knockout! View attachment 1446100
Si wako huko kwenye saccos ya Mwenyekiti wa Maisha Mbowe Mugabe??Mmemkumbuka mwigulu ili awassaidie kuchakachua kura vipi na wengine waliowasaidia ushindi
Ni wa kile chama cha ukoo chenye itikadi za ukomunistSi wako huko kwenye saccos ya Mwenyekiti wa Maisha Mbowe Mugabe??
Inafutika October tunairudisha NCCR
Wananchi wapi? Watz wameshawadharau sana tu hawana mpango na nyinyi ndiyo maana kila mnachopanga kinadunda!Mnairudisha NCCR kwani nyie ndio mnatoa vyama na kuviweka? Wananchi mbona walishaamka muda mrefu sana. Mnaweza kuwapa NCCR viti mvitakavyo kupitia ulevi wa madaraka, ila hiyo itakuwa ni mbinu ya muda mfupi maana wananchi tunajua tunataka nini.
Wewe bibi unalialia na sukari kwani lazima unywe chai?
taahira la kisukumaNdiyo wapi huko?