Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Wajinga wajinga wengi wanafurahi eti akina Magori wamerudi kuiokoa Simba, tena vyombo vya habari vya kijinga kabisa vinaandika Mamafia warudi Simba.
Wana umafia gani sasa? Mafia enzi hizo alikuwa Kassim Dewji ambaye alipokuwa Katibu Mkuu wa Simba alipata sana misukosuko kutoka kwa akina marehemu Juma Salum lakini mwanaume huyo alishinda vita zote.
Kassim ambaye ni mtanzania lakini ana asili ya kihindi mambo yake hayana tofauti kabisa na waswahili.Yaani Kassim Dewji ni mswahili pure kukiko waswahili.Umafia wote anaujua, siasa za soka la bongo anazijua.
Leo Kassim amechoka.Mara ya mwisho KAssim alipokuwa mjumbe wa bodi aliingia kwenye mgogoro mkubwa na Barbra ambaye inadaiwa amerudishwa katika kazi ya utendaji ndani ya klabu hiyo.Sasa swali Kassim ambaye alikuwa akipingana mara kwa mara na Babra watawezana kweli.
Halafu ujinga mwingine ni kuwa hao akina Magori wana umafia gani? Simba ilipigwa 3 na kutolewa na Gwanengy Gallaxy tukiwa na hao hao akina Magori, leo mnataka kutuambia nyie wajinga wajinga mnaosahau.
Mbona haya mambo Yanga hayapo? Yanga ilikuwa na mafia kibao wamekubali kukaa pembeni wamempa timu Hersi, sasa hivi wanakula maisha tu.Kwa hiyo simba bila Magori, Mlamu, Kassim haiwezi kwenda sio?
Nyie mnaowashabikia akina Magoriee ambao hawana mapenzi yoyote na Simba zaidi ya maslahi tu mmerogwa nini.
Hata muungane mara 1000 yule mtoto Hersi anayevaa majinzi mabovu ana kichwa kizuri sana, ameweka kambi kule Kigamboni ina ulinzi kama Ikulu ya Marekani vile.Sio sisi kule Bunju kwepeeeeesi.
Simba imekula mabao 5 wameshindwa kuisaidia timu hadi waingizwe kwenye uongozi, umeona wapi mambo haya,.
Uzi huu Admin utakuja kuurudia nakwambia, Yanga wataendelea kuwa mabingwa hadi huyo Rais wao aiachie hiyo timu.