Nasimama na bunge la Iraq kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Status
Not open for further replies.
hyo sheria unaona kwa wazi wanazuoni wakiipinga na unajua inapingana na ile ya miaka 18.... tena umekiri mwaka 72 ndo iliandikwa. Dunia ya leo unajadiri kumtomba mtoto wa miaka 9 ni lazima akili zao zimejaa nyege na kuwaza style za kutombana 24/7. huo ni ufala Dunia ya leo kufikiri vitu kama hvo
 
Wewe ndio unawaza hivyo Mimi sijasema hivyo
 
Ndoa ni tendon la ndoa ndio maana likaitwa tendon la ndoa
 
Wewe na hao waarabu wako wote ni walewale tu. Dunia ya kina Yesu, Maria na Joseph sio Dunia ya sasa...
Dunia ya kipindi cha ujima - hunters na gathers sio sasa..Hicho kipindi hata kijana mdogo aliweza kuoa pia...hakuna kilichokua kinafanyika zaidi ya kuwinda, kukusanya matunda, kwenda chooni na kuzalisha.
Hivi wewe kwa kwa akili yako mtoto wa miaka 9 awe wa kiume au wa kike kwa maisha ya sasa - si ndo anajitafura kupigania future yake - ndo la tatu au la nne..
Hajaona hata dunia ikoje tayari mnawaza kumchezea, pia KWA nini WANAMFANYA MTOTO MATEKA - yaani aolewe na li mtu halijua JUU KWA JUU - huo si utekaji kabisa.

Hiyo issue kuwa watoto kuanza sex mapema sio HOJA kabisa- wanafanya kwa utashi wao...na kwa utundu wao, na SIO KWA mikataba kama hiyo...
Waarabu wajinga sana
 
Ohoo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…