Wewe na hao waarabu wako wote ni walewale tu. Dunia ya kina Yesu, Maria na Joseph sio Dunia ya sasa...
Dunia ya kipindi cha ujima - hunters na gathers sio sasa..Hicho kipindi hata kijana mdogo aliweza kuoa pia...hakuna kilichokua kinafanyika zaidi ya kuwinda, kukusanya matunda, kwenda chooni na kuzalisha.
Hivi wewe kwa kwa akili yako mtoto wa miaka 9 awe wa kiume au wa kike kwa maisha ya sasa - si ndo anajitafura kupigania future yake - ndo la tatu au la nne..
Hajaona hata dunia ikoje tayari mnawaza kumchezea, pia KWA nini WANAMFANYA MTOTO MATEKA - yaani aolewe na li mtu halijua JUU KWA JUU - huo si utekaji kabisa.
Hiyo issue kuwa watoto kuanza sex mapema sio HOJA kabisa- wanafanya kwa utashi wao...na kwa utundu wao, na SIO KWA mikataba kama hiyo...
Waarabu wajinga sana