Nasimama na Haji Manara

Nasimama na Haji Manara

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Hatutaki kuongea mengi juu ya Sakata hili. Mpaka sasa kosa la Manara ni moja tu, Kuanzisha malumbano wakati tunakaribia kucheza derby.

Tuhuma nyingine bado hakuna uthibitisho maana kwenda sehemu haimaanishi umekwenda kusaliti. Tutawadai ushahidi wa huo usaliti wa Manara.

Babra Umeletwa na Mo kuja kusimamia pesa zake. Manara yupo kitambo.

Manara amekuwa kama jalala anatukanwa sana simba ikifungwa. Makosa ya wachezaji anayukanwa Manara.

Waandihi wengi sana ni Mashabiki ( Dauda na Kitenge)wa Yanga, wamejaribu kuibomoa Simba lakini Manara amasimama kupabana nao. Manara amejenga maadui wengi sababu ya Simba.Tunajua inatumika nguvu sana kuchochea huu mgogoro.

Mo dewj anapata Nguvu ya kuwekeza sababu Manara ameshafanya hamasana na kupata wafuasi kwa Simba.

Suala la kumlipa laki saba.
Hapo Simba ndio wasaliti kwa Manara na wanasimba wote. Unamlipa Manara sawa na mlinzi wa getini?

Tuko tayari kuchangia hiyo laki saba kilawezi nyie bakini na hiyo laki saba yenu.

Unamlipa laki saba na unataka kumzuwia sifanye kazi zingine mpaka unamchagulia marafiki. Haiwezekani.

Msione tuko kimya, Derby imepita sasa turudi kwenye jambo letu.

Manara anajua uozo mwingi, mnapo chokozana naye muwe mmejiandaa kisaikolojia.

Angalizo: Manara ni kipaji sio Elimu kama Babra. Angalia Yanga wanavyo hangaika kutafuta watu wa kupambana Manara na bado wamefeli.

Nitoe mfano: Mechi ya leo Kigoma, Barua ya Yanga kumkataa refa imeobekana uwanjani, refa amechezesha kuwafurahisha Yanga. Tulihitaji maneno ya Manara kubalance mambo kabla ya mechi.

Msidanganywe Manara anawatu wengi sana tena Sana.

Malizeni haya mambo ndani ya Club, hatutakia matangazo wala press za kuvurugana.
 
Hatutaki kuongea mengi juu ya Sakata hili. Mpaka sasa kosa la Manara ni moja tu, Kuanzisha malumbano wakati tinakaribia kucheza derby.

Tuhuma zingine bado hakuna uthibitisho maana kwenda sehem haimaanishi umekwenda kusaliti. Tutawadai ushahidi wa huo usaliti wa Manara.

Manara amekua kama jalala anatukanwa sana simba ikifungwa. Makosa ya wachezaji anayukanwa Manara.

Swala la kumlipa laki saba.
Hapo Simba ndio wasaliti kwa Manara na wanasimba wote. Unamlipa manara sawa na mlinzi wa getini?

Angalizo: Manara ni kipaji sio Elimu kama babra. Angalia Yanga wanavyo hangaika kutafuta watu wa kupambana Manara na bado wamefeli.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Manara anatoa fedha?,hivi mo akiondoa fedha zake,simba akabaki manara bado atakuwa na watu?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Manara si ungekuja tu na id ya jina lako kujisafisha unaogopa nini
Manara hanaga mwandiko na mpangilio mbovu hivi, japokuwa huyu alieamua kusimama na manara naye ndio wale wale

Manara muda wake Simba umepita na kama kusaidiana wote Kwa pamoja wamesaidiana, Manara kaisaidia Simba Sana na Simba imemsaidia Sana manara kuwa hapa alipo Leo

Kuna muda anajisahau Sana na kuona yeye ndio kila kitu, Kwa Simba ilipofikia haiitaji tena mtu asie na welevu katika kazi zake, Manara akikosea waga anakimbilia Kwa mashabiki ili wamtetee Ila safari hii kapitiliza
 
Hatutaki kuongea mengi juu ya Sakata hili. Mpaka sasa kosa la Manara ni moja tu, Kuanzisha malumbano wakati tinakaribia kucheza derby.

Tuhuma zingine bado hakuna uthibitisho maana kwenda sehem haimaanishi umekwenda kusaliti. Tutawadai ushahidi wa huo usaliti wa Manara.

Babra Umeletwa na Mo kuja kusimamia pesa zake. Manara yupo kitambo.

Manara amekua kama jalala anatukanwa sana simba ikifungwa. Makosa ya wachezaji anayukanwa Manara.

Waandihi wengi sana ni Mashabiki ( Dauda na Kitenge)wa Yanga, wamejaribu kuibomoa Simba lakini Manara amasimama kupabana nao. Manara amejenga maadui wengi sababu ya Simba.Tunajua inatumika nguvu sana kuchochea huu mgogoro.

Mo dewj anapata Nguvu ya kuwekeza sababu Manara ameshafanya hamasana na kupata wafuasi kwa Simba.

Swala la kumlipa laki saba.
Hapo Simba ndio wasaliti kwa Manara na wanasimba wote. Unamlipa manara sawa na mlinzi wa getini?

Tuko tayari kuchangia hiyo laki saba kilawezi nyie bakini na hiyo laki saba yenu.

Unamlipa laki saba na unataka kumzuwia sifanye kazi zingine mpaka unamchagulia marafiki. Haiwezekani.

Msione tuko kimya, Derby imepita sasa turudi kwenye jambo letu.

Manara anajua uozo mwingi, mnapo chokozana naye muwe mmejiandaa kisaikolojia.

Angalizo: Manara ni kipaji sio Elimu kama babra. Angalia Yanga wanavyo hangaika kutafuta watu wa kupambana Manara na bado wamefeli.

Nitoe mfano: Mechi ya leo Kigoma, Barua ya Yanga kumkataa refa imeobekana uwanjani, refa amechezesha kuwafurahisha Yanga. Tulihitaji maneno ya Manara kubalance mambo kabla ya mechi.

Msidanganywe Manara anawatu wengi sana tena Sana.

Malizeni haya mambo ndani ya Club, hatutakia matangazo wala press za kuvurugana.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Siyo kusimama naye tu hata kulala kalale naye hakuna shida.
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Hatutaki kuongea mengi juu ya Sakata hili. Mpaka sasa kosa la Manara ni moja tu, Kuanzisha malumbano wakati tunakaribia kucheza derby.

Tuhuma nyingine bado hakuna uthibitisho maana kwenda sehemu haimaanishi umekwenda kusaliti. Tutawadai ushahidi wa huo usaliti wa Manara.

Babra Umeletwa na Mo kuja kusimamia pesa zake. Manara yupo kitambo.

Manara amekuwa kama jalala anatukanwa sana simba ikifungwa. Makosa ya wachezaji anayukanwa Manara.

Waandihi wengi sana ni Mashabiki ( Dauda na Kitenge)wa Yanga, wamejaribu kuibomoa Simba lakini Manara amasimama kupabana nao. Manara amejenga maadui wengi sababu ya Simba.Tunajua inatumika nguvu sana kuchochea huu mgogoro.

Mo dewj anapata Nguvu ya kuwekeza sababu Manara ameshafanya hamasana na kupata wafuasi kwa Simba.

Suala la kumlipa laki saba.
Hapo Simba ndio wasaliti kwa Manara na wanasimba wote. Unamlipa Manara sawa na mlinzi wa getini?

Tuko tayari kuchangia hiyo laki saba kilawezi nyie bakini na hiyo laki saba yenu.

Unamlipa laki saba na unataka kumzuwia sifanye kazi zingine mpaka unamchagulia marafiki. Haiwezekani.

Msione tuko kimya, Derby imepita sasa turudi kwenye jambo letu.

Manara anajua uozo mwingi, mnapo chokozana naye muwe mmejiandaa kisaikolojia.

Angalizo: Manara ni kipaji sio Elimu kama Babra. Angalia Yanga wanavyo hangaika kutafuta watu wa kupambana Manara na bado wamefeli.

Nitoe mfano: Mechi ya leo Kigoma, Barua ya Yanga kumkataa refa imeobekana uwanjani, refa amechezesha kuwafurahisha Yanga. Tulihitaji maneno ya Manara kubalance mambo kabla ya mechi.

Msidanganywe Manara anawatu wengi sana tena Sana.

Malizeni haya mambo ndani ya Club, hatutakia matangazo wala press za kuvurugana.
Unayajua maadili ya kazi ..? (Ethics)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipoanza kujenga kibanda changu kuna jirani mmoja mzee mwenyeji wa pale alikua akinitunzia vifaa vyangu vya ujenzi. Alinifaa sana wakati ule, lakini kwa sasa siwezi kumuita sebuleni kwangu tupige stori kama mwanzo. Wakati wake umepita. Na ndugu Manara wakati wake umepita. Amefanya alichofanya lakini kwa sasa hafai kwa soka la simba na taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom