Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Hatutaki kuongea mengi juu ya Sakata hili. Mpaka sasa kosa la Manara ni moja tu, Kuanzisha malumbano wakati tunakaribia kucheza derby.
Tuhuma nyingine bado hakuna uthibitisho maana kwenda sehemu haimaanishi umekwenda kusaliti. Tutawadai ushahidi wa huo usaliti wa Manara.
Babra Umeletwa na Mo kuja kusimamia pesa zake. Manara yupo kitambo.
Manara amekuwa kama jalala anatukanwa sana simba ikifungwa. Makosa ya wachezaji anayukanwa Manara.
Waandihi wengi sana ni Mashabiki ( Dauda na Kitenge)wa Yanga, wamejaribu kuibomoa Simba lakini Manara amasimama kupabana nao. Manara amejenga maadui wengi sababu ya Simba.Tunajua inatumika nguvu sana kuchochea huu mgogoro.
Mo dewj anapata Nguvu ya kuwekeza sababu Manara ameshafanya hamasana na kupata wafuasi kwa Simba.
Suala la kumlipa laki saba.
Hapo Simba ndio wasaliti kwa Manara na wanasimba wote. Unamlipa Manara sawa na mlinzi wa getini?
Tuko tayari kuchangia hiyo laki saba kilawezi nyie bakini na hiyo laki saba yenu.
Unamlipa laki saba na unataka kumzuwia sifanye kazi zingine mpaka unamchagulia marafiki. Haiwezekani.
Msione tuko kimya, Derby imepita sasa turudi kwenye jambo letu.
Manara anajua uozo mwingi, mnapo chokozana naye muwe mmejiandaa kisaikolojia.
Angalizo: Manara ni kipaji sio Elimu kama Babra. Angalia Yanga wanavyo hangaika kutafuta watu wa kupambana Manara na bado wamefeli.
Nitoe mfano: Mechi ya leo Kigoma, Barua ya Yanga kumkataa refa imeobekana uwanjani, refa amechezesha kuwafurahisha Yanga. Tulihitaji maneno ya Manara kubalance mambo kabla ya mechi.
Msidanganywe Manara anawatu wengi sana tena Sana.
Malizeni haya mambo ndani ya Club, hatutakia matangazo wala press za kuvurugana.