Safi sana kwa ufafanuzi mzuri. Tafuta na video ya Gaddafi mimi imenipotea kabisa yaani. Sijui niliipeleka wapi.Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.
Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona.
Ila penye wa kuelewa na wakupinga hawakosekani, na kuna watanzania wengi haswa wenye itikadi tofauti za kisiasa wanampinga Rais tena wakitumia nguvu kubwa sana kuhamasisha watu wakachanjwe.
Mimi binafsi nina maswali machache kuhusu hiyo chanjo
1. Imetumika wapi kama majaribio na matokeo yake ni yapi hadi tuje kuchomwa huku kwetu? Tusisahau mwaka Jana walisema kabisa chanjo ingepatikana ilitakiwa ianzie kutumika Africa wakatoa sababu eti kuna uhaba wa health facilities kwa hiyo kukinga ni bora kuliko kutibu..... sasa wameona ngoma imegoma na waafrika hawajaathirika kwa kiasi kikubwa walivyotaka bado wanalazimisha, kulikoni?
2. Wakati UK wanareport wastani wa vifo 1000 kwa siku, USA wao wana wastani wa vifo 4000 kwa siku. Kwanini wasitoe hiyo chanjo kwenye hizi nchi zilizoathirika zaidi ili kuonyesha effectiveness ya chanjo na kutokomeza vifo kabla ya kuja Africa?
3.Wataalamu wa mfumo wa upumuaji wanasema hakuna chanjo inayoweza kupambana na virus vya mfumo wa upumuaji kwa 100%, wanasema kama kuna chanjo inaweza kuwa effective 50% 60% ila kikubwa wanachoshauri ni wanadamu kubadili mfumo wa maisha ikiwa ni pamoja na Kula, kunywa na kubadili tabia zinazoweza kuchochea maambukizi.
Je kwanini WHO hawatumii nguvu kubwa kutoa hii hamasa kwa dunia kama wanavyohamasisha chanjo?
4.Tumsikilize mtanzania mwenzetu hapa chini na tutafakari huu upendo mkubwa hivi kwa mataifa yaliyoendelea wa kutaka kutulinda ili tusife wakati wao wanakufa kila siku tena kwa maelfu unasababishwa na nini?
View attachment 1688978
I STAND WITH MY PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI[emoji106][emoji123]
Hivi nyie shule mlienda kusomea ujinga?Wanaopanga kupunguza waafrika billion3 ndio haohao watoa chanjo
View attachment 1688987
RAIS MSTAAFU MZEE JAKAYA "Za kuambiwa changanya na zako"
Kama chanjo imethibitishwa kwanini Mataifa ya Asia yanatumia chanjo tofauti na ile inayotumika mataifa ya ulaya na U. SMaarifa nusu ni hatari kuliko kutokuwa na maarifa kabisa.
01: Chanjo siyo tiba
02: Chanjo imepitia hatua zote za kitaalamu kabla ya kuruhusiwa kutumika.
03: Marekani, Uingereza na mataifa mengine ya Wazungu wameshaanza kuchanjwa.
04: Wazungu hawajaanza kuwalazimisha kuchanjwa, hizo chanjo bado ni ndogo na wanazigombania wao kwa wao.
Ni vizuri kuwa makini, ni vizuri kupinga; lakini fanya hivyo ukiwa na maarifa na taarifa za kutosha (fully informed).
Covid-19 ilipoingia kila taifa na mashirika (makampuni) makubwa ya utengenezaji madawa yaliingia maabara kufanya utafiti na kugundua chanjo mbalimbali.Kama chanjo imethibitishwa kwanini Mataifa ya Asia yanatumia chanjo tofauti na ile inayotumika mataifa ya ulaya na U. S
sasa hao waliogundua dawa hao kuna baadhi ndio walio tengeneza kirusiCovid-19 ilipoingia kila taifa na mashirika (makampuni) makubwa ya utengenezaji madawa yaliingia maabara kufanya utafiti na kugundua chanjo mbalimbali.
Ndiyo maana unaona makampuni tofauti mbalimbali ya nchi tofauti wamegundua chanjo. Lakini, chanjo zote zimepitia hatua zote za Kisayansi na kuthibitishwa ni salama kwa matumizi ya mwanadamu kabla ya kuanza kutumika.
Hakuna mtu atakayelazimishwa kuchanjwa, ila ukikataa usijilazimishe kuingia nchi zao.
acha sisi tubaki na natural immunityCovid-19 ilipoingia kila taifa na mashirika (makampuni) makubwa ya utengenezaji madawa yaliingia maabara kufanya utafiti na kugundua chanjo mbalimbali.
Ndiyo maana unaona makampuni mbalimbali ya nchi tofautotofauti wamegundua chanjo. Lakini, chanjo zote zimepitia hatua zote za Kisayansi na kuthibitishwa ni salama kwa matumizi ya mwanadamu kabla ya kuanza kutumika.
Hakuna mtu atakayelazimishwa kuchanjwa, ila ukikataa usijilazimishe kuingia nchi zao.
baseless assertions.sasa hao waliogundua dawa hao kuna baadhi ndio walio tengeneza kirusi
Tupo 1.3 billionKwanza Africa hatufiki bil 3.. Labda waue hadi kizazi cha 5...
Then kuuwa watu bil 3.. Ni sawa umeua nusu au robo 3 kabsa ya dunia nzima...
Ahsante sana kwa swali zuri na fikirishi. Naomba kukujibu kama ifuatavyo:- ni kwamba sisi kama wazungu tulikaa na kujadili kwa mapana na marefu kuhusiana na suala la hili chanjo na majaribio yake. Kiukweli haikuwa kazi rahisi ila tumejitahidi sana katika jambo hili. Katika mikutanao yetu maazimio yalikuwa ni kwamba sehemu nzuri kwa majaribio ya chanjo zetu ni Africa kwa sababu hata kama chanjo itakuwa imesababisha matatizo kwao hatuna cha kupoteza. Pili, tumelenga afrika kwani ni itakuwa ni sehemu nzuri katika mkakati wa kibiashara, kama mjuavyo Afrika hawana uwezo wa kutengeneza dawa yoyote hivyo basi tukiwatia wasi wasi wa hali ya juu kuhusiana na hili gonjwa hakika itakuwa ni fursa nzuri sana ya kibiashara kwa sababu tutapata soko kubwa la kuuza chanjo zetu.Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.
Watanzania wengi wamemuelewa rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa rais kuhusu chanjo ya corona.
Ila penye wa kuelewa na wakupinga hawakosekani, na kuna watanzania wengi haswa wenye itikadi tofauti za kisiasa wanampinga rais tena wakitumia nguvu kubwa sana kuhamasisha watu wakachanjwe.
Mimi binafsi nina maswali machache kuhusu hiyo chanjo
1. Imetumika wapi kama majaribio na matokeo yake ni yapi hadi tuje kuchomwa huku kwetu? Tusisahau mwaka Jana walisema kabisa chanjo ingepatikana ilitakiwa ianzie kutumika Africa wakatoa sababu eti kuna uhaba wa health facilities kwa hiyo kukinga ni bora kuliko kutibu..... sasa wameona ngoma imegoma na waafrika hawajaathirika kwa kiasi kikubwa walivyotaka bado wanalazimisha, kulikoni?
Kama nilivyojibu hapo juu ni kwamba Afrika ndiyo sehemu ya majaribio ya chanjo zetu kwa sababu nyie mna kinga za mwili zenye nguvu kubwa sana ambazo huwa haitingishiki kirahisi. Pili, hatuwezi fanya majaribio kwa wazungu wenzetu kwani hizo dawa zitatuumiza sana kutokana na asili ya miili yetu ilivyo. Tatu, shabaha kubwa ni Afrika ili tuweze kupata masoko ya kuuza chanjo zetu.2. Wakati UK wanareport wastani wa vifo 1000 kwa siku, USA wao wana wastani wa vifo 4000 kwa siku. Kwanini wasitoe hiyo chanjo kwenye hizi nchi zilizoathirika zaidi ili kuonyesha effectiveness ya chanjo na kutokomeza vifo kabla ya kuja Africa?
Hatuwezi kutumia nguvu ya kuhamasisha mafumo mzima wa maisha wakati tayari watu walitumia gharama kubwa katika kufanya utafiti na kutengeneza chanjo hiyo. Tukihamasisha hilo suala. Je watapataje gharama zao walizotumia kufanya utafiti na kugundua chanjo wakati wahusika wa WHO ndiyo hao hao ni moja ya watu watakaonufaika kupitia usambazaji wa hiyo chanjo?3.Wataalamu wa mfumo wa upumuaji wanasema hakuna chanjo inayoweza kupambana na virus vya mfumo wa upumuaji kwa 100%, wanasema kama kuna chanjo inaweza kuwa effective 50% 60% ila kikubwa wanachoshauri ni wanadamu kubadili mfumo wa maisha ikiwa ni pamoja na Kula, kunywa na kubadili tabia zinazoweza kuchochea maambukizi.
Je kwanini WHO hawatumii nguvu kubwa kutoa hii hamasa kwa dunia kama wanavyohamasisha chanjo???
Narudia kusema kwamba lengo siyo kukulinda wewe Mwafrika bali tunatafuta masoko kwa ajili ya kuuza bidhaa zetu ikiwa ni pamoja na chanjo zetu. Naomba ufanye marejeo ya majibu yangu hapo juu.4.Tumsikilize mtanzania mwenzetu hapa chini na tutafakari huu upendo mkubwa hivi kwa mataifa yaliyoendelea wa kutaka kutulinda ili tusife wakati wao wanakufa kila siku tena kwa maelfu unasababishwa na nini?