Nasimama na Rais Magufuli kwenye kuchukua tahadhari dhidi ya Corona na napinga matumizi ya chanjo inayopigiwa kampeni na dunia

Nasimama na Rais Magufuli kwenye kuchukua tahadhari dhidi ya Corona na napinga matumizi ya chanjo inayopigiwa kampeni na dunia

Maarifa nusu ni hatari kuliko kutokuwa na maarifa kabisa.

01: Chanjo siyo tiba

02: Chanjo imepitia hatua zote za kitaalamu kabla ya kuruhusiwa kutumika.

03: Marekani, Uingereza na mataifa mengine ya Wazungu wameshaanza kuchanjwa.

04: Wazungu hawajaanza kuwalazimisha kuchanjwa, hizo chanjo bado ni ndogo na wanazigombania wao kwa wao.

Ni vizuri kuwa makini, ni vizuri kupinga; lakini fanya hivyo ukiwa na maarifa na taarifa za kutosha (fully informed).
 
Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.

Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona.
Ila penye wa kuelewa na wakupinga hawakosekani, na kuna watanzania wengi haswa wenye itikadi tofauti za kisiasa wanampinga Rais tena wakitumia nguvu kubwa sana kuhamasisha watu wakachanjwe.

Mimi binafsi nina maswali machache kuhusu hiyo chanjo
1. Imetumika wapi kama majaribio na matokeo yake ni yapi hadi tuje kuchomwa huku kwetu? Tusisahau mwaka Jana walisema kabisa chanjo ingepatikana ilitakiwa ianzie kutumika Africa wakatoa sababu eti kuna uhaba wa health facilities kwa hiyo kukinga ni bora kuliko kutibu..... sasa wameona ngoma imegoma na waafrika hawajaathirika kwa kiasi kikubwa walivyotaka bado wanalazimisha, kulikoni?

2. Wakati UK wanareport wastani wa vifo 1000 kwa siku, USA wao wana wastani wa vifo 4000 kwa siku. Kwanini wasitoe hiyo chanjo kwenye hizi nchi zilizoathirika zaidi ili kuonyesha effectiveness ya chanjo na kutokomeza vifo kabla ya kuja Africa?

3.Wataalamu wa mfumo wa upumuaji wanasema hakuna chanjo inayoweza kupambana na virus vya mfumo wa upumuaji kwa 100%, wanasema kama kuna chanjo inaweza kuwa effective 50% 60% ila kikubwa wanachoshauri ni wanadamu kubadili mfumo wa maisha ikiwa ni pamoja na Kula, kunywa na kubadili tabia zinazoweza kuchochea maambukizi.
Je kwanini WHO hawatumii nguvu kubwa kutoa hii hamasa kwa dunia kama wanavyohamasisha chanjo?

4.Tumsikilize mtanzania mwenzetu hapa chini na tutafakari huu upendo mkubwa hivi kwa mataifa yaliyoendelea wa kutaka kutulinda ili tusife wakati wao wanakufa kila siku tena kwa maelfu unasababishwa na nini?

View attachment 1688978

I STAND WITH MY PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI[emoji106][emoji123]
Safi sana kwa ufafanuzi mzuri. Tafuta na video ya Gaddafi mimi imenipotea kabisa yaani. Sijui niliipeleka wapi.
 
Maarifa nusu ni hatari kuliko kutokuwa na maarifa kabisa.

01: Chanjo siyo tiba

02: Chanjo imepitia hatua zote za kitaalamu kabla ya kuruhusiwa kutumika.

03: Marekani, Uingereza na mataifa mengine ya Wazungu wameshaanza kuchanjwa.

04: Wazungu hawajaanza kuwalazimisha kuchanjwa, hizo chanjo bado ni ndogo na wanazigombania wao kwa wao.

Ni vizuri kuwa makini, ni vizuri kupinga; lakini fanya hivyo ukiwa na maarifa na taarifa za kutosha (fully informed).
Kama chanjo imethibitishwa kwanini Mataifa ya Asia yanatumia chanjo tofauti na ile inayotumika mataifa ya ulaya na U. S
 
Mna hoja mfu sana, mzungu akuue wewe? Akitaka kukuua si anakuua tu?? Kuna mtu wa kumzuia mzungu asikuue??
 
Kama chanjo imethibitishwa kwanini Mataifa ya Asia yanatumia chanjo tofauti na ile inayotumika mataifa ya ulaya na U. S
Covid-19 ilipoingia kila taifa na mashirika (makampuni) makubwa ya utengenezaji madawa yaliingia maabara kufanya utafiti na kugundua chanjo mbalimbali.

Ndiyo maana unaona makampuni mbalimbali ya nchi tofautitofauti wamegundua chanjo. Lakini, chanjo zote zimepitia hatua zote za Kisayansi na kuthibitishwa ni salama kwa matumizi ya mwanadamu kabla ya kuanza kutumika.

Hakuna mtu atakayelazimishwa kuchanjwa, ila ukikataa usilazimishe kuingia nchi zao.
 
Covid-19 ilipoingia kila taifa na mashirika (makampuni) makubwa ya utengenezaji madawa yaliingia maabara kufanya utafiti na kugundua chanjo mbalimbali.

Ndiyo maana unaona makampuni tofauti mbalimbali ya nchi tofauti wamegundua chanjo. Lakini, chanjo zote zimepitia hatua zote za Kisayansi na kuthibitishwa ni salama kwa matumizi ya mwanadamu kabla ya kuanza kutumika.

Hakuna mtu atakayelazimishwa kuchanjwa, ila ukikataa usijilazimishe kuingia nchi zao.
sasa hao waliogundua dawa hao kuna baadhi ndio walio tengeneza kirusi
 
Mna hoja mfu sana, mzungu akuue wewe? Akitaka kukuua si anakuua tu?? Kuna mtu wa kumzuia mzungu asikuue
 
Covid-19 ilipoingia kila taifa na mashirika (makampuni) makubwa ya utengenezaji madawa yaliingia maabara kufanya utafiti na kugundua chanjo mbalimbali.

Ndiyo maana unaona makampuni mbalimbali ya nchi tofautotofauti wamegundua chanjo. Lakini, chanjo zote zimepitia hatua zote za Kisayansi na kuthibitishwa ni salama kwa matumizi ya mwanadamu kabla ya kuanza kutumika.

Hakuna mtu atakayelazimishwa kuchanjwa, ila ukikataa usijilazimishe kuingia nchi zao.
acha sisi tubaki na natural immunity
 
Ukinionesha sehemu uliyowahi pingana na rais Magufuli nakupa Chanjo ya Corona iliyotengenezwa Tanzania.

Maskini jeuri, tengenezeni chanjo yenu basi au dawa yenu ili mabeberu yasiwaue.
 
Mna hoja mfu sana, mzungu akuue wewe? Akitaka kukuua si anakuua tu?? Kuna mtu wa kumzuia mzungu asikuue
 
Mna hoja mfu sana, mzungu akuue wewe? Akitaka kukuua si anakuua tu?? Kuna mtu wa kumzuia mzungu asikuue
Kuna tofauti Kati ya mzungu na beberu. Wauaji ni mabeberu
 
Mna hoja mfu sana, mzungu akuue wewe? Akitaka kukuua si anakuua tu?? Kuna mtu wa kumzuia mzungu asikuue
 
Ukinionesha sehemu uliyowahi pingana na rais Magufuli nakupa Chanjo ya Corona iliyotengenezwa Tanzania.

Maskini jeuri, tengenezeni chanjo yenu basi au dawa yenu ili mabeberu yasiwaue.
Hehehe unataka nimpinge wapi kwa mfano?
 
Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.

Watanzania wengi wamemuelewa rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa rais kuhusu chanjo ya corona.
Ila penye wa kuelewa na wakupinga hawakosekani, na kuna watanzania wengi haswa wenye itikadi tofauti za kisiasa wanampinga rais tena wakitumia nguvu kubwa sana kuhamasisha watu wakachanjwe.

Mimi binafsi nina maswali machache kuhusu hiyo chanjo
1. Imetumika wapi kama majaribio na matokeo yake ni yapi hadi tuje kuchomwa huku kwetu? Tusisahau mwaka Jana walisema kabisa chanjo ingepatikana ilitakiwa ianzie kutumika Africa wakatoa sababu eti kuna uhaba wa health facilities kwa hiyo kukinga ni bora kuliko kutibu..... sasa wameona ngoma imegoma na waafrika hawajaathirika kwa kiasi kikubwa walivyotaka bado wanalazimisha, kulikoni?
Ahsante sana kwa swali zuri na fikirishi. Naomba kukujibu kama ifuatavyo:- ni kwamba sisi kama wazungu tulikaa na kujadili kwa mapana na marefu kuhusiana na suala la hili chanjo na majaribio yake. Kiukweli haikuwa kazi rahisi ila tumejitahidi sana katika jambo hili. Katika mikutanao yetu maazimio yalikuwa ni kwamba sehemu nzuri kwa majaribio ya chanjo zetu ni Africa kwa sababu hata kama chanjo itakuwa imesababisha matatizo kwao hatuna cha kupoteza. Pili, tumelenga afrika kwani ni itakuwa ni sehemu nzuri katika mkakati wa kibiashara, kama mjuavyo Afrika hawana uwezo wa kutengeneza dawa yoyote hivyo basi tukiwatia wasi wasi wa hali ya juu kuhusiana na hili gonjwa hakika itakuwa ni fursa nzuri sana ya kibiashara kwa sababu tutapata soko kubwa la kuuza chanjo zetu.
2. Wakati UK wanareport wastani wa vifo 1000 kwa siku, USA wao wana wastani wa vifo 4000 kwa siku. Kwanini wasitoe hiyo chanjo kwenye hizi nchi zilizoathirika zaidi ili kuonyesha effectiveness ya chanjo na kutokomeza vifo kabla ya kuja Africa?
Kama nilivyojibu hapo juu ni kwamba Afrika ndiyo sehemu ya majaribio ya chanjo zetu kwa sababu nyie mna kinga za mwili zenye nguvu kubwa sana ambazo huwa haitingishiki kirahisi. Pili, hatuwezi fanya majaribio kwa wazungu wenzetu kwani hizo dawa zitatuumiza sana kutokana na asili ya miili yetu ilivyo. Tatu, shabaha kubwa ni Afrika ili tuweze kupata masoko ya kuuza chanjo zetu.
3.Wataalamu wa mfumo wa upumuaji wanasema hakuna chanjo inayoweza kupambana na virus vya mfumo wa upumuaji kwa 100%, wanasema kama kuna chanjo inaweza kuwa effective 50% 60% ila kikubwa wanachoshauri ni wanadamu kubadili mfumo wa maisha ikiwa ni pamoja na Kula, kunywa na kubadili tabia zinazoweza kuchochea maambukizi.
Je kwanini WHO hawatumii nguvu kubwa kutoa hii hamasa kwa dunia kama wanavyohamasisha chanjo???
Hatuwezi kutumia nguvu ya kuhamasisha mafumo mzima wa maisha wakati tayari watu walitumia gharama kubwa katika kufanya utafiti na kutengeneza chanjo hiyo. Tukihamasisha hilo suala. Je watapataje gharama zao walizotumia kufanya utafiti na kugundua chanjo wakati wahusika wa WHO ndiyo hao hao ni moja ya watu watakaonufaika kupitia usambazaji wa hiyo chanjo?
4.Tumsikilize mtanzania mwenzetu hapa chini na tutafakari huu upendo mkubwa hivi kwa mataifa yaliyoendelea wa kutaka kutulinda ili tusife wakati wao wanakufa kila siku tena kwa maelfu unasababishwa na nini?
Narudia kusema kwamba lengo siyo kukulinda wewe Mwafrika bali tunatafuta masoko kwa ajili ya kuuza bidhaa zetu ikiwa ni pamoja na chanjo zetu. Naomba ufanye marejeo ya majibu yangu hapo juu.

SUMMARY
1. Kutokana na ujinga na umasiki wenu na kupenda vitu vya bure tumeamua kwa Afrika iwe ni eneo la majaribio ya chanjo zetu.

2. Afrika ni sehemu sahihi ya kuuza bidhaa zetu(Potential area)

3. Mkikataa kuruhusu chanjo tutawabana tu kwenye mikopo yetu. Hivyo sidhani kama mtakuwa na jeuri ya kukataa chanzo zetu.

NB: wajinga ndio waliwao.

Ahsanteni na karibuni sana.
Kwa niaba ya wazungu.
View attachment 1688978

I STAND WITH MY PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI👍💪
 
Waafrika sisi shida yetu hata sijui ni nini. Wachina wametengeneza chanjo yao. Warusi hali kadhalika. Sisi Bara zima kweli hatuwezi? Afrika Kusini na nchi zingine zikiunganisha nguvu kweli haziwezi kutoa chanjo?

Tatizo letu ni nini hasa? Tutamlaumu mzungu kwa kila kitu mpaka lini? Tunakataa hii chanjo wakati tunafakamia ARVS za mzungu huyo huyo. Bado tunatumia chanjo kibao za mzungu huyo huyo. Madawa karibu yote mahospitalini ni ya mzungu huyo huyo. Mpaka nakuna kichwa yaani...
 
Hata chanjo za polio, tetekuwanga, surua, yellow fever, tetanus, hepatis A na B ni za hao hao walioleta hizi za corona!! Na mnaendelea kuchomwa kama kawaida!!

Ni swala la muda - hata hizi za corona mtafikia kuziomba kama mnavoomba ARVs!!

Ulioita ni uchambuzi ni emotions na conspiracy theories!! Kuna kitu kibaya kimepanga chumba kichwani mwako - kujiona ni mhanga!!
 
Back
Top Bottom