paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Tunaenda kununua Kwa matakwa yetu!Kwani hizo ndege wanazotuuzia sio biashara zao? Silaha tunazonunua kwao sio biashara zao? Mbona hawatoi hizo ndege na silaha kama msaada ili tujue hizo ARV's sio msaada?
Hakika.COVID 19 Is real, tuchukue tahadhari wakuu.
Ni ujinga kuwalaumu hawa watu. Kwani hayo mapenzi ya jinsia moja unashikiwa au unafanya na mnafanya wenyewe? Nani kaja kukushikia bunduki kwamba ufanye,
Nmecheka Hadi naumwa!!Oya kuna yeyote aliyeenda china mwezi huu wakuu[emoji16][emoji16]?View attachment 1689068
Kwani wakipata Akili leo inakuwa ni ubaya!watanzania kwa kuamini conspiracy theories za wapuuzi hamjambo.
Mtanzania tangu anazaliwa hadi anakuwa nau wezo wa kupost mashudu hapa JF anakuwa ameshachomwa chanjo mbalimbali zaidi ya 5 na zote zimetengenezwa na mabeberu na mpaka leo watoto wenu wanchomwa hizo chanjo na hakuna hata mmoja amewahi kukmataza mtoto wake kuchomwa.
mambo mengine yanapendeza mkiwa mnajadili na malimbukeni wanaolala kitanda kimoja na ng'ombe.
Nmecheka Hadi naumwa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda kachanjwe
Tunasubiri wachomwe na corona iishe kwao ndio tuchomweKatka ukanda huu wa Africa tz inaonaekana kuna tatizo hvyo mabeberu wanatulia timing tu mnk cc tz ndio tunajifanya tunajuwa snaa ktk hili la korona. Watakacho tufanya uataona mnk tz inaonekana cc ndio tunatibua mipango michafu ya mabeberu sas ngojeeni mkubli hyo chanjo.
Yuko kwa aijli ya kutetea masla na usalama wa Watanzania, sio kuburuzwa, lazima tujiulize kwa nini virusi sugu vipatikane Africa, na si ulaya, Asia na Marekani wanapotumia Madawa makali? kwani huko ndio wangejibadilisha ili kupingana na hayo Madawa. Raisi yuko sahihi ila watu hawataki kufikiri wanaongozwa na mihemko ya tv na wazunguRais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.
Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona. Ila penye wa kuelewa na wakupinga hawakosekani, na kuna watanzania wengi haswa wenye itikadi tofauti za kisiasa wanampinga Rais tena wakitumia nguvu kubwa sana kuhamasisha watu wakachanjwe.
Mimi binafsi nina maswali machache kuhusu hiyo chanjo:
1. Imetumika wapi kama majaribio na matokeo yake ni yapi hadi tuje kuchomwa huku kwetu? Tusisahau mwaka Jana walisema kabisa chanjo ingepatikana ilitakiwa ianzie kutumika Africa wakatoa sababu eti kuna uhaba wa health facilities kwa hiyo kukinga ni bora kuliko kutibu, sasa wameona ngoma imegoma na waafrika hawajaathirika kwa kiasi kikubwa walivyotaka bado wanalazimisha, kulikoni?
2. Wakati UK wanareport wastani wa vifo 1000 kwa siku, USA wao wana wastani wa vifo 4000 kwa siku. Kwanini wasitoe hiyo chanjo kwenye hizi nchi zilizoathirika zaidi ili kuonyesha effectiveness ya chanjo na kutokomeza vifo kabla ya kuja Africa?
3. Wataalamu wa mfumo wa upumuaji wanasema hakuna chanjo inayoweza kupambana na virus vya mfumo wa upumuaji kwa 100%, wanasema kama kuna chanjo inaweza kuwa effective 50% 60% ila kikubwa wanachoshauri ni wanadamu kubadili mfumo wa maisha ikiwa ni pamoja na Kula, kunywa na kubadili tabia zinazoweza kuchochea maambukizi. Je, kwanini WHO hawatumii nguvu kubwa kutoa hii hamasa kwa dunia kama wanavyohamasisha chanjo?
4. Tumsikilize Mtanzania mwenzetu hapa chini na tutafakari huu upendo mkubwa hivi kwa mataifa yaliyoendelea wa kutaka kutulinda ili tusife wakati wao wanakufa kila siku tena kwa maelfu unasababishwa na nini?
I STAND WITH MY PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI[emoji106][emoji123]
Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.
Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona. Ila penye wa kuelewa na wakupinga hawakosekani, na kuna watanzania wengi haswa wenye itikadi tofauti za kisiasa wanampinga Rais tena wakitumia nguvu kubwa sana kuhamasisha watu wakachanjwe.
Mimi binafsi nina maswali machache kuhusu hiyo chanjo:
1. Imetumika wapi kama majaribio na matokeo yake ni yapi hadi tuje kuchomwa huku kwetu? Tusisahau mwaka Jana walisema kabisa chanjo ingepatikana ilitakiwa ianzie kutumika Africa wakatoa sababu eti kuna uhaba wa health facilities kwa hiyo kukinga ni bora kuliko kutibu, sasa wameona ngoma imegoma na waafrika hawajaathirika kwa kiasi kikubwa walivyotaka bado wanalazimisha, kulikoni?
2. Wakati UK wanareport wastani wa vifo 1000 kwa siku, USA wao wana wastani wa vifo 4000 kwa siku. Kwanini wasitoe hiyo chanjo kwenye hizi nchi zilizoathirika zaidi ili kuonyesha effectiveness ya chanjo na kutokomeza vifo kabla ya kuja Africa?
3. Wataalamu wa mfumo wa upumuaji wanasema hakuna chanjo inayoweza kupambana na virus vya mfumo wa upumuaji kwa 100%, wanasema kama kuna chanjo inaweza kuwa effective 50% 60% ila kikubwa wanachoshauri ni wanadamu kubadili mfumo wa maisha ikiwa ni pamoja na Kula, kunywa na kubadili tabia zinazoweza kuchochea maambukizi. Je, kwanini WHO hawatumii nguvu kubwa kutoa hii hamasa kwa dunia kama wanavyohamasisha chanjo?
4. Tumsikilize Mtanzania mwenzetu hapa chini na tutafakari huu upendo mkubwa hivi kwa mataifa yaliyoendelea wa kutaka kutulinda ili tusife wakati wao wanakufa kila siku tena kwa maelfu unasababishwa na nini?
I STAND WITH MY PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI[emoji106][emoji123]
Point!Covid-19 ilipoingia kila taifa na mashirika (makampuni) makubwa ya utengenezaji madawa yaliingia maabara kufanya utafiti na kugundua chanjo mbalimbali.
Ndiyo maana unaona makampuni mbalimbali ya nchi tofautitofauti wamegundua chanjo. Lakini, chanjo zote zimepitia hatua zote za Kisayansi na kuthibitishwa ni salama kwa matumizi ya mwanadamu kabla ya kuanza kutumika.
Hakuna mtu atakayelazimishwa kuchanjwa, ila ukikataa usilazimishe kuingia nchi zao.
Huenda kuwa akili zipo. Ila kuze deploy zitusaidie hapo ndipo tunafeli.Dr Watson, yule mgunduzi waumbo la DNA aliposema kwamba waafrika hawana intelligence kama wazungu alishambuliwa sana na wanaharakati na hata wanasayansi wenzake akitakiwa aoneshe uhusiano uliopo kati akili ya mwanadamu na rangi ya ngozi yake, mpaka akalazimika kuiomba msamaha jumuiya ya kimataifa kwa kauli hiyo.
Mimi binafsi pia niliipinga sana kauli hiyo ya Dr Watson kwa kigezo hicho cha uhusiano wa rangi ya ngozi na akili.
Lakini hapa tulipofikia kwenye siasa zetu, tawala zetu na hili janga la korona nimeanza kuhisi kuwa pengine tulimsakama bure tu Dr Watson.
Labda alizingatia vigezo vingine ambavyo hakuona sababu ya kuvitaja kwani ukweli wa kauli yake unajidhihirisha wazi kabisa.
Hata marekani ilikuwa under colonized.Mkuu kwenye kipengele cha UKIMWI unahisi huu ugonjwa hautumalizi? Ulishawahi kujiuliza wakisitisha hizo dawa nini kitatokea?
Imefika hatua sasa hivi mfano maeneo ya vijijini watu wanaishi kwa madawa yani kuna vijiji robo tatu nzima wana ngoma na bila madawa hawaishi.
Mzungu kama aliweza kutucolonize kamwe hawezi kushuhudia ustawi wetu
Tunaenda kununua Kwa matakwa yetu!
Hii inakuwa ni kama wanatulazimisha mkuu
Binafsi sichanjwi na Hilo Kadi nitalipata
Plan yao ni kupunguza idadi ya watu na sio kuua.. Kama unabyotudanganya...Ujinga zaidi ni kushindwa kujua huo sio mpango wa siku moja au mwaka mmoja
Wakati wewe unaiwaza Leo wao wanaiwaza 2100
Jiongeze