Nasimama na Rais Magufuli kwenye kuchukua tahadhari dhidi ya Corona na napinga matumizi ya chanjo inayopigiwa kampeni na dunia

Nasimama na Rais Magufuli kwenye kuchukua tahadhari dhidi ya Corona na napinga matumizi ya chanjo inayopigiwa kampeni na dunia

Kwani hizo ndege wanazotuuzia sio biashara zao? Silaha tunazonunua kwao sio biashara zao? Mbona hawatoi hizo ndege na silaha kama msaada ili tujue hizo ARV's sio msaada?
Tunaenda kununua Kwa matakwa yetu!

Hii inakuwa ni kama wanatulazimisha mkuu

Binafsi sichanjwi na Hilo Kadi nitalipata
 
Wazungu mkiwalealea si watu wazuri hao, wakishaanza kupigia kelele kitu, ujue walishakiandaa muda kitambo na walishagakiwekea mazingira yake!

Hayo mayai ya kuku yasiyo na Baba yamewafanya wengi kuingia huo mchezo wa kijinga!

Ni ujinga kuwalaumu hawa watu. Kwani hayo mapenzi ya jinsia moja unashikiwa au unafanya na mnafanya wenyewe? Nani kaja kukushikia bunduki kwamba ufanye,
 
Oya kuna yeyote aliyeenda china mwezi huu wakuu[emoji16][emoji16]?
1611911150770.jpg
 
watanzania kwa kuamini conspiracy theories za wapuuzi hamjambo.

Mtanzania tangu anazaliwa hadi anakuwa nau wezo wa kupost mashudu hapa JF anakuwa ameshachomwa chanjo mbalimbali zaidi ya 5 na zote zimetengenezwa na mabeberu na mpaka leo watoto wenu wanachomwa hizo chanjo na hakuna hata mmoja amewahi kumkataza mtoto wake kuchomwa.
mambo mengine yanapendeza mkiwa mnajadili na malimbukeni wanaolala kitanda kimoja na ng'ombe.
 
watanzania kwa kuamini conspiracy theories za wapuuzi hamjambo.

Mtanzania tangu anazaliwa hadi anakuwa nau wezo wa kupost mashudu hapa JF anakuwa ameshachomwa chanjo mbalimbali zaidi ya 5 na zote zimetengenezwa na mabeberu na mpaka leo watoto wenu wanchomwa hizo chanjo na hakuna hata mmoja amewahi kukmataza mtoto wake kuchomwa.
mambo mengine yanapendeza mkiwa mnajadili na malimbukeni wanaolala kitanda kimoja na ng'ombe.
Kwani wakipata Akili leo inakuwa ni ubaya!

Kuchanjwa si ili usiugue Corona? Sasa mbona unazidisha kelele badala ya kuchukua hatua?

Unataka usindikizwe na Nani tena!
 
Katka ukanda huu wa Africa tz inaonaekana kuna tatizo hvyo mabeberu wanatulia timing tu mnk cc tz ndio tunajifanya tunajuwa snaa ktk hili la korona. Watakacho tufanya uataona mnk tz inaonekana cc ndio tunatibua mipango michafu ya mabeberu sas ngojeeni mkubli hyo chanjo.
 
Tunasubiri wachomwe na corona iishe kwao ndio tuchomwe
Wasitugeuze chambo🙄🙄
 
A
Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.

Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona. Ila penye wa kuelewa na wakupinga hawakosekani, na kuna watanzania wengi haswa wenye itikadi tofauti za kisiasa wanampinga Rais tena wakitumia nguvu kubwa sana kuhamasisha watu wakachanjwe.

Mimi binafsi nina maswali machache kuhusu hiyo chanjo:

1. Imetumika wapi kama majaribio na matokeo yake ni yapi hadi tuje kuchomwa huku kwetu? Tusisahau mwaka Jana walisema kabisa chanjo ingepatikana ilitakiwa ianzie kutumika Africa wakatoa sababu eti kuna uhaba wa health facilities kwa hiyo kukinga ni bora kuliko kutibu, sasa wameona ngoma imegoma na waafrika hawajaathirika kwa kiasi kikubwa walivyotaka bado wanalazimisha, kulikoni?

2. Wakati UK wanareport wastani wa vifo 1000 kwa siku, USA wao wana wastani wa vifo 4000 kwa siku. Kwanini wasitoe hiyo chanjo kwenye hizi nchi zilizoathirika zaidi ili kuonyesha effectiveness ya chanjo na kutokomeza vifo kabla ya kuja Africa?

3. Wataalamu wa mfumo wa upumuaji wanasema hakuna chanjo inayoweza kupambana na virus vya mfumo wa upumuaji kwa 100%, wanasema kama kuna chanjo inaweza kuwa effective 50% 60% ila kikubwa wanachoshauri ni wanadamu kubadili mfumo wa maisha ikiwa ni pamoja na Kula, kunywa na kubadili tabia zinazoweza kuchochea maambukizi. Je, kwanini WHO hawatumii nguvu kubwa kutoa hii hamasa kwa dunia kama wanavyohamasisha chanjo?

4. Tumsikilize Mtanzania mwenzetu hapa chini na tutafakari huu upendo mkubwa hivi kwa mataifa yaliyoendelea wa kutaka kutulinda ili tusife wakati wao wanakufa kila siku tena kwa maelfu unasababishwa na nini?

I STAND WITH MY PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI[emoji106][emoji123]
Yuko kwa aijli ya kutetea masla na usalama wa Watanzania, sio kuburuzwa, lazima tujiulize kwa nini virusi sugu vipatikane Africa, na si ulaya, Asia na Marekani wanapotumia Madawa makali? kwani huko ndio wangejibadilisha ili kupingana na hayo Madawa. Raisi yuko sahihi ila watu hawataki kufikiri wanaongozwa na mihemko ya tv na wazungu
 
Dr Watson, yule mgunduzi waumbo la DNA aliposema kwamba waafrika hawana intelligence kama wazungu alishambuliwa sana na wanaharakati na hata wanasayansi wenzake akitakiwa aoneshe uhusiano uliopo kati akili ya mwanadamu na rangi ya ngozi yake, mpaka akalazimika kuiomba msamaha jumuiya ya kimataifa kwa kauli hiyo.

Mimi binafsi pia niliipinga sana kauli hiyo ya Dr Watson kwa kigezo hicho cha uhusiano wa rangi ya ngozi na akili.

Lakini hapa tulipofikia kwenye siasa zetu, tawala zetu na hili janga la korona nimeanza kuhisi kuwa pengine tulimsakama bure tu Dr Watson.

Labda alizingatia vigezo vingine ambavyo hakuona sababu ya kuvitaja kwani ukweli wa kauli yake unajidhihirisha wazi kabisa.
 
Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.

Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona. Ila penye wa kuelewa na wakupinga hawakosekani, na kuna watanzania wengi haswa wenye itikadi tofauti za kisiasa wanampinga Rais tena wakitumia nguvu kubwa sana kuhamasisha watu wakachanjwe.

Mimi binafsi nina maswali machache kuhusu hiyo chanjo:

1. Imetumika wapi kama majaribio na matokeo yake ni yapi hadi tuje kuchomwa huku kwetu? Tusisahau mwaka Jana walisema kabisa chanjo ingepatikana ilitakiwa ianzie kutumika Africa wakatoa sababu eti kuna uhaba wa health facilities kwa hiyo kukinga ni bora kuliko kutibu, sasa wameona ngoma imegoma na waafrika hawajaathirika kwa kiasi kikubwa walivyotaka bado wanalazimisha, kulikoni?

2. Wakati UK wanareport wastani wa vifo 1000 kwa siku, USA wao wana wastani wa vifo 4000 kwa siku. Kwanini wasitoe hiyo chanjo kwenye hizi nchi zilizoathirika zaidi ili kuonyesha effectiveness ya chanjo na kutokomeza vifo kabla ya kuja Africa?

3. Wataalamu wa mfumo wa upumuaji wanasema hakuna chanjo inayoweza kupambana na virus vya mfumo wa upumuaji kwa 100%, wanasema kama kuna chanjo inaweza kuwa effective 50% 60% ila kikubwa wanachoshauri ni wanadamu kubadili mfumo wa maisha ikiwa ni pamoja na Kula, kunywa na kubadili tabia zinazoweza kuchochea maambukizi. Je, kwanini WHO hawatumii nguvu kubwa kutoa hii hamasa kwa dunia kama wanavyohamasisha chanjo?

4. Tumsikilize Mtanzania mwenzetu hapa chini na tutafakari huu upendo mkubwa hivi kwa mataifa yaliyoendelea wa kutaka kutulinda ili tusife wakati wao wanakufa kila siku tena kwa maelfu unasababishwa na nini?

I STAND WITH MY PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI[emoji106][emoji123]

Nikuelimishe tu kinga haiwezi kutolewa kwa watu wote hivyo kuna vijana wengi hawatapata kinga hata kwenye nchi hizi. Pili Tanzania tufanye kinga hiari lakini hatuwezi kuzuia wazazi wetu wanaotaka kinga wasipate. Huwezi kuongelea taifa nzima kwa mawazo binafsi ambayo sio ya kisayansi. Kama mtu huna akili ya kujua umuhimu wa chanjo huwezi kuwa na sababu ya kwenda nje kufanya nini wakati huwaamini hao mabeberu! Vilevile wewe mwenyewe una chanjo umepigwa na zimetoka huko huko au unabisha huna chanjo?
 
Covid-19 ilipoingia kila taifa na mashirika (makampuni) makubwa ya utengenezaji madawa yaliingia maabara kufanya utafiti na kugundua chanjo mbalimbali.

Ndiyo maana unaona makampuni mbalimbali ya nchi tofautitofauti wamegundua chanjo. Lakini, chanjo zote zimepitia hatua zote za Kisayansi na kuthibitishwa ni salama kwa matumizi ya mwanadamu kabla ya kuanza kutumika.

Hakuna mtu atakayelazimishwa kuchanjwa, ila ukikataa usilazimishe kuingia nchi zao.
Point!
 
Dr Watson, yule mgunduzi waumbo la DNA aliposema kwamba waafrika hawana intelligence kama wazungu alishambuliwa sana na wanaharakati na hata wanasayansi wenzake akitakiwa aoneshe uhusiano uliopo kati akili ya mwanadamu na rangi ya ngozi yake, mpaka akalazimika kuiomba msamaha jumuiya ya kimataifa kwa kauli hiyo.

Mimi binafsi pia niliipinga sana kauli hiyo ya Dr Watson kwa kigezo hicho cha uhusiano wa rangi ya ngozi na akili.

Lakini hapa tulipofikia kwenye siasa zetu, tawala zetu na hili janga la korona nimeanza kuhisi kuwa pengine tulimsakama bure tu Dr Watson.

Labda alizingatia vigezo vingine ambavyo hakuona sababu ya kuvitaja kwani ukweli wa kauli yake unajidhihirisha wazi kabisa.
Huenda kuwa akili zipo. Ila kuze deploy zitusaidie hapo ndipo tunafeli.
Hatutaki kuzishughulisha, hatutaki kuumiza kichwa.

Tuna deploy politics na kufumbia macho mambo ya maana. Tukitarajia kuwa kesho mambo yatabadilika
 
Hata
Mkuu kwenye kipengele cha UKIMWI unahisi huu ugonjwa hautumalizi? Ulishawahi kujiuliza wakisitisha hizo dawa nini kitatokea?

Imefika hatua sasa hivi mfano maeneo ya vijijini watu wanaishi kwa madawa yani kuna vijiji robo tatu nzima wana ngoma na bila madawa hawaishi.

Mzungu kama aliweza kutucolonize kamwe hawezi kushuhudia ustawi wetu
Hata marekani ilikuwa under colonized.
 
Tunaenda kununua Kwa matakwa yetu!

Hii inakuwa ni kama wanatulazimisha mkuu

Binafsi sichanjwi na Hilo Kadi nitalipata

Viongozi ndio wananunua sio kwa ridhaa ya wananchi. Hiyo chanjo sisi wananchi tusioamini ushirikina kama nyinyi tunaitaka.
 
Ujinga zaidi ni kushindwa kujua huo sio mpango wa siku moja au mwaka mmoja

Wakati wewe unaiwaza Leo wao wanaiwaza 2100
Jiongeze
Plan yao ni kupunguza idadi ya watu na sio kuua.. Kama unabyotudanganya...

Fikiria kwa sasa dunia ina watu kama bil 5.. Angalia matatizo ya ajira na maeneo ya kuishi..

Na rate ya uzazi ni kubwa sana tena zaidi ni africa.. Imagine kufika mwaka 2100 idadi ya watu itakuwa ni ngapi ???

Bila shaka inaweza kuwa mara 3 na ya sisi.. Na technolojia inakuwa sana. Nazani unajua kadri tecnolojia inavyokuwa na tatizo la ajira linazid. Hii itapelekea uneployment kubwa sana..

Watu wengi wakikosa ajira,wataingia misituni kukata miti.. Na uhalifu utakuwa mkubwa sana...

Kwa vyovyote lazima dunia ithibiti kuzaliana duniani..

Achana na siasa za kijinga.. Fikiria hata ww leo jitahd kupunguza idadi ya watoto.. Itapelekea matatizo ya kusomesha
 
Back
Top Bottom