Nasimama na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Nasimama na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Tantalilaaa zote ziishe,turudi kwenye uchaguzi wa kiroho safi, makapi yote tukayachuje hapo ndyo tutapata Cream safi.Nashangaa watu kupigiana kete humu, kwani wote mnao wapigia kete walipatikana kwa magumashi baada ya Mtu yule kuna jisi sanduku la kura.hakuna hata mmoj anaefaa wachunguzeni kwa macho manne mtajua.
 
Walamba asali wannaona ni kizingiti sana baada ya kuondoa masalia ya Magufuli yote. Amebaki yeye. Zengwe linatafutwa. Wacha wajichanganye kwa Majaliwa, kusini yote na kanda ya ziwa watapata shida mno.
 
Takuwa mnafiki kusema Majaliwa anafanya kazi nzuri..., Ila takuwa kipofu kusema tatizo ni Majaliwa ni kama unataka kumuua mjusi unapiga mkia badala ya kichwa...

Yaani Unafukuza nzi badala ya kuondoa mzoga... (which is which ?, you decide...)
 
Ndio kabisaa
Mkuu

Mzalendo wa kweli akiyebaki na Uzalendo wa kweli ni MH MKM

Wengine ni walamba Asali na agent wa makampuni binafsi

Waliojawa na dharau

Majivuvo kiburi

Kama huyo.leo kwenye issue ya Bundle anakibu kwa kiburii
Maan mtamfanya nin
 
Majaliwa anayelinda watu kukwepa Kodi?. Refer mama kibonge na kesi ya ukwepaji Kodi.
Hzo n blah blah tuu kutaka kuaminisha watu kuwa anajihusisha na huyo mtu kumbe hola, we ushaoba wapi mtu mzima na binti Tena mjinga na mtu wa Lindi wao na wap
 
Shida ya huyu bwana ni uongo uongo mwingi na kuanzisha vitu asivyovimalizia
Kiitifaki huwezi kutangazia Taifa kuwa Rais kafariki wakati Dola bado haijajipanga naomba muwe mnafikiri kidogo kuhusu hili. Ilkua n lazima waseme vile mie binafsi nilijua tayari mzee hayupo kwa viashiria Fulani nilikuwa natoka sehemu nikakutana na magari ya wakuu wa mikoa watu wanaelekea sehemu moja pili ghafla kumuona makamu wa Rais akiwa na ummy tanga hapo ndio niljua chuma kimeenda
 
Busara ni kukaa kimya. Angepiga kimya tu. Kisha kusubiri hiyo dola ijipange. Kusema uongo ni dhambi kidini, inashusha hadhi kwenye jamii na inaondoa kuaminika tena.

Kaswali ka nje ya mada kidogo, makamu kwenda Tanga na Ummy ilikupaje machale kuwa chuma kimepumzika mazima?
 
Tanga inaheshima yake mzee hasa kule kwenye udongo mwekundu kwanza makamu wa Rais alkua na ziara sijui Kanda ya ziwa hv wakati huo wakuu wa mikoa na v8 nyingi zilkua zinaelekea Dodoma hapo mie niliwaambia watu nahisi Kuna kitu hskijakaa sawa kuhusu uhai wa JPM, alafu gafla makamu akaibukia Tanga na master minder wake huko vijijini nikajua tayari mtu kaenda kupewa Kinga ili akikaa pale wasimdhuru.

Ndo mana baada ya kuingia madarakani ummy alkua anatoa matamko Kama vile ndio makamu au Waziri mkuu Ila saiz Ile timu imeeanza kumkataa na hapo ndo ummy anajuta kumpeleka makamu chocho kutengenezwa.
 
Kumekuwa na nyuzi nyingi sana ambazo zinaanzishwa kwa hoja ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu hivi Hawa watu wapo nyuma ya Nani? Hivi hawaoni jinsi anavyojitajidi kupambana na mchwa inayoligharimu Taifa.

Kama sio Majaliwa unadhani huko kwenye halmashauri Hali ingekuwaje japo wanamzidi akili sababu wanajua mtetezi wao yupo?

Mawaziri na wizara zote zinaripoti kwa rais lakini Kama wangekuwa wanawajibika kwa Waziri Mkuu aisee hawa kina Nape, Makamba, Mwigulu, aweso wasingekuwa ni mawaziri wakusemasema vitu visivyohitajika kusikia watanzania.

Waziri Mkuu yaan Kassim Majaliwa kwa Sasa ndio nguzo imara kwenye serikali hapa Tanzania.

Mawaziri wameshindwa kumuheshimisha Rais na wanaofanya juhudi za kumdharau Waziri Mkuu sema kwa uhodari na uwanaume alionao Kassim Majaliwa nakwambia anakomaa nao.

Hata Hilo genge nasikia wanasema amebaki Kassim tuu ili mamboyao yaende vizuri nawashauri karatasi ya kura ndio itaamua nasio wao.

Rais ni taasisi kubwa Kama kuona anatakiwa kuona sababu wateule wake hasa mawaziri wengi wanaviburi vya pesa na wengi wanatafutiwa mmoja wao she kuwa namba moja na wanaofanya haya ni wateule wako ndani ya chama wengine wateule wako wa serikalini na wengine umeamua kuishi nao sababu wanaonekana Ni wazuri kwenye Biashara za kimataifa.

Rais aangalie vizuri watu wake wa karibu wanamsaliti parefu na Kassim Majaliwa anajitahidi kupambana nao lakini Rais huumpi nguvu tafadhali lione Hilo.

Mwisho Tanzania Ni yetu sote tufanye kazi kwa juhudi tuondoe umaskini kwenye familia zetu kwani kulalamika hakujawahi kuleta ugali mezani.
Ameshaanza kuwalipa na yeye? 😆😆.

PM huyu Hana tofauti na Ummy au Bashungwa wa Tamisemi Kila siku matamko ila hayana impacts Wala utekelezaji.
 
Huyu PM n habari nyingine sasa mie nianze kulipwa na Majaliwa sintakuwa mcharo aisee.

Majaliwa anauzika nayeye binafsi anauza hvyo mnavyomletea mauongo blah blah mjipange
 
Habari nyingine ipi? Ukiangalia msururu wa ufisadi awamu ya 5 Kama inqvyoripotiwa huko Bungeni na CAG huyu ndie mhusika mkuu was uzembe..

In fact alitakiwa kufukuzwa pengine Ni vile Mama anamstahi ama alimtonya mpango wa kupindua Katiba au walikuwa wote wahanga wa awamu ya 5 so anaishi kwa fadhila, otherwise Ni failure..

Hivi huyu jamaa na Mawaziziri wakijitokeza Kugombea Urais anaweza washinda kweli?
 
We unaona Kama uchaguzi ingekuwa January 2023 na kampeni zianze 15-nov-2022 wagombea wawe.

1. Kassim Majaliwa
2. Samia suluhu
3. Philip mpango
4. Mwigulu Nchemba
5. January makamba
6. Josephat gwajima
7. Bashir kakurwa
8. George simbachawene
9. Fredrick sumaye
10. Luhaga mpina

Nani angepewa benders ya CCM au Nani anauzika kisiasa hapo au Nani anakubalika na kuogopwa na vyama vya upinzani?

Nipe jipu nikuone ulivyo mkweli
 
Safi sanaa
Hawa akina Sijui Magoto ni Wahaini. Anatakiwa akamatwe haraka sanaa.

Hatuhitaji Mabeberu humu ndani. Tutamlinda MAJALIWA KASIMU. Waziri Mkuu wetuu .

Ndio kiongozi pekee anaweza vaa viatu za Uraisi kwa Sasa wa nchi yetu. Baba Majaliwa tembea Kifua Mbele , usiogope mimi na Wazalendo wa kweli wa Taifa hili tuko nyuma yakoo. Na tutakulinda Dhidi ya Wadhalimu ,na wanyang'anyi wa Rasilimali za nchi yetuu

Nasimama na Mhe Kasim Majaliwa Kasim

👏👏👏👏🏋️‍♂️🏋️‍♀️🏋️‍♂️🏋️‍♀️🏋️‍♂️🏋️‍♀️🏋️‍♂️🏋️‍♀️🏋️‍♂️
Naamini siku Majaliwa atakapochukua form ya urais basi atakuwa president the same day, huyu mzee bado anafanya kazi ya vizuri anachohitaji zaidi ni more power from the system, wajinga wanamchukia sana
 
Takuwa mnafiki kusema Majaliwa anafanya kazi nzuri..., Ila takuwa kipofu kusema tatizo ni Majaliwa ni kama unataka kumuua mjusi unapiga mkia badala ya kichwa...

Yaani Unafukuza nzi badala ya kuondoa mzoga... (which is which ?, you decide...)
Umenena mkuu salute to you
 
Kumekuwa na nyuzi nyingi sana ambazo zinaanzishwa kwa hoja ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu hivi Hawa watu wapo nyuma ya Nani? Hivi hawaoni jinsi anavyojitajidi kupambana na mchwa inayoligharimu Taifa.

Kama sio Majaliwa unadhani huko kwenye halmashauri Hali ingekuwaje japo wanamzidi akili sababu wanajua mtetezi wao yupo?

Mawaziri na wizara zote zinaripoti kwa rais lakini Kama wangekuwa wanawajibika kwa Waziri Mkuu aisee hawa kina Nape, Makamba, Mwigulu, aweso wasingekuwa ni mawaziri wakusemasema vitu visivyohitajika kusikia watanzania.

Waziri Mkuu yaan Kassim Majaliwa kwa Sasa ndio nguzo imara kwenye serikali hapa Tanzania.

Mawaziri wameshindwa kumuheshimisha Rais na wanaofanya juhudi za kumdharau Waziri Mkuu sema kwa uhodari na uwanaume alionao Kassim Majaliwa nakwambia anakomaa nao.

Hata Hilo genge nasikia wanasema amebaki Kassim tuu ili mamboyao yaende vizuri nawashauri karatasi ya kura ndio itaamua nasio wao.

Rais ni taasisi kubwa Kama kuona anatakiwa kuona sababu wateule wake hasa mawaziri wengi wanaviburi vya pesa na wengi wanatafutiwa mmoja wao she kuwa namba moja na wanaofanya haya ni wateule wako ndani ya chama wengine wateule wako wa serikalini na wengine umeamua kuishi nao sababu wanaonekana Ni wazuri kwenye Biashara za kimataifa.

Rais aangalie vizuri watu wake wa karibu wanamsaliti parefu na Kassim Majaliwa anajitahidi kupambana nao lakini Rais huumpi nguvu tafadhali lione Hilo.

Mwisho Tanzania Ni yetu sote tufanye kazi kwa juhudi tuondoe umaskini kwenye familia zetu kwani kulalamika hakujawahi kuleta ugali mezani.
Uzi umekaa kisiasa zaidi
 
Endeleaa Kusimama Naye Wakati Upepo Umechafuka Sana
 
Back
Top Bottom