Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Katika vitu ninavyoviona vya ajabu basi ni tuhuma zinazomkabili Keshas.
Keshas huduma zake kwa ujumla ni gharama sana, kupunguza tu tumbo tu peke yake ni laki 9 lakini cha ajabu kila kukicha wateja wanazidi kumiminika kwake kuanzia wateja wa kawaida mpaka wale V.I.P mfano mmojawapo ni Zari the bosslady , Wastara Sajuki nk.
Sasa pointi yangu ya msingi ninayosimama nayo ni kwamba,
"Iweje jamaa kama hana huo uwezo wa kupunguza matumbo na kutengeneza shape kwa Nini wateja wanazidi kumiminika kwake?Kwa nini wasiende kwa watoa huduma wengine wanafanya kazi kama anayofanya yeye?
Kuna shutuma nzito zinamkabili jamaa eti anawatapeli akina dada na kuwanyanyasa kingono kwa kuwaongopea kwamba ili matumbo yao yapungue basi itabidi aingize dawa kwenye uume wake na kuwaingizia hao wadada ili dawa ikayayushe hayo mafuta,
Hivi kwa akili ya kawaida hili jambo Lina make sense kweli??
Hapa ukichunguza kwa makini kuna jambo nyuma ya pazia linaendelea .
Nimeona Waziri Gwajima amemtaka jamaa ajitokeze hadharani kujibu tuhuma zinazomkabili, ngoja tuone itakavyokuwa.
Lakini yote kwa yote hajawabaka wala hajawalazimisha ni wao wenyewe ndio waliomtafuta na walikubaliana bila kulazimishana, hivyo kwa vyovyote vile jamaa hana hatia.