Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #41
Mkuu,Jamaa anafidi kweli kuchezea misambwanda
Ova
Jumapili hii tunafunga mwaka kibabe huko Saudi Arabia na fights za kibabe.
Main card AJ vs Otto Walin, Deontay vs Parker, kuna Bivol naye atacheza, Daniel Dubois naye atapanda ulingoni , kuna uwezekano pia tukafungua mwaka na fights za kibabe zaidi mf Gervonta Davis vs Haney , bila kusahau Usyk vs Fury
🔥🔥🔥🔥🔥🔥