Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
😅🙌Duniani Kuna mamboKwamba Zari ile flat tummy kaipata kwa Keshas? Kuwa serious Mkuu.
Alienda kufanyiwa surgery Nairobi kuondoa tumbo na kuongezwa makalio kwa dokta aliyemfanyia Tanasha, kisha akaenda kupunguza miguu UK.
Kaa humo
Ach siye tuwe watazamaji
Namuombea Mungu anipe uhai nione mwisho wa hizo surgery...
Yaani wengine wanapumguza miguu😅
Wengine tunaambiwa miguu km fito