Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla

Tech Max

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2025
Posts
363
Reaction score
335
Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design, video editing, na ujuzi mwingine wa IT. Gharama ya usimamizi wa akaunti nafanya laki 200,000 Tsh kwa mwezi mmoja.

Mawasiliano: 0756704145.
Napatikana Mkoa: Dar es salaam.
 
Kama unataka kukuza uwepo wako mitandaoni huu ni wakati wako, karibu
 
Unasimamiaje?
Ofisi yangu ina IT sasa wewe upo daslam utawezaje kusimamia ofisi ipo Kagera au Sumbawanga
 
Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design, video editing, na ujuzi mwingine wa IT. Gharama ya usimamizi wa akaunti nafanya laki 200,000 Tsh kwa mwezi mmoja.

Mawasiliano: 0756704145.
Napatikana Mkoa: Dar es salaam.
Cost za kusimamia 200K ni kubwa mno kushinda hata ya kuhost.
 
Unasimamiaje?
Ofisi yangu ina IT sasa wewe upo daslam utawezaje kusimamia ofisi ipo Kagera au Sumbawanga
Mkuu kazi tunafanya kwa uaminifu, we nitafute kwa namba hii tuongee 0756704145
 
Back
Top Bottom