Tunasimamia account za usa, uk, na tupo TZ. Hawezi kushindwa ya kagera huyoUnasimamiaje?
Ofisi yangu ina IT sasa wewe upo daslam utawezaje kusimamia ofisi ipo Kagera au Sumbawanga
Cost za kusimamia 200K ni kubwa mno kushinda hata ya kuhost.Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design, video editing, na ujuzi mwingine wa IT. Gharama ya usimamizi wa akaunti nafanya laki 200,000 Tsh kwa mwezi mmoja.
Mawasiliano: 0756704145.
Napatikana Mkoa: Dar es salaam.