digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Habari wapendwa katika bwana,
Naomba niende kwenye hoja moja kwa moja
Tatizo langu ni tumbo kujaa hewa na kupelekea moyo kwenda kasi na wakati mwingine pumzi inabana hasa baada ya kula , yaani tumbo linajaa hewa na inanibidi nikae tu nikisema nilale hewa huja kifuani na kupelekea mapigo ya moyo kwenda kasi au hata pumzi kubana, ili kupata nafuu inanilazimu nikae tu nikisema nilale hali inakuwa tete, nilipoenda hospital walinipima kupimo cha ECG na CXR(chest x-ray) lakini hawakubaini tatizo kwenye moyo, hivi karibuni nilipima kipimo cha utra sound madakitari walibaini uwepo wa hewa nyingi tumboni, hivyo nilipewa vidonge aina ya OMEPRAZOLE NA ERYTHMYCIN Lakini mpaka sasa tatizo liko vilevile, wakuu na wapendwa wangu naomba msaada wenu, hakika nateseka sana ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app