Nasinzia nikiwa nimekaa kwenye kiti

Nasinzia nikiwa nimekaa kwenye kiti

digba sowey

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
8,926
Reaction score
17,880
Habari wapendwa katika bwana,
Naomba niende kwenye hoja moja kwa moja
Tatizo langu ni tumbo kujaa hewa na kupelekea moyo kwenda kasi na wakati mwingine pumzi inabana hasa baada ya kula , yaani tumbo linajaa hewa na inanibidi nikae tu nikisema nilale hewa huja kifuani na kupelekea mapigo ya moyo kwenda kasi au hata pumzi kubana, ili kupata nafuu inanilazimu nikae tu nikisema nilale hali inakuwa tete, nilipoenda hospital walinipima kupimo cha ECG na CXR(chest x-ray) lakini hawakubaini tatizo kwenye moyo, hivi karibuni nilipima kipimo cha utra sound madakitari walibaini uwepo wa hewa nyingi tumboni, hivyo nilipewa vidonge aina ya OMEPRAZOLE NA ERYTHMYCIN Lakini mpaka sasa tatizo liko vilevile, wakuu na wapendwa wangu naomba msaada wenu, hakika nateseka sana ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu.

Jaribu kutumia dawa ya Magnesium itaweza kukusaidia
 
Pole...
 
Pole.Jaribu kula kwa wakati...hata Milo mitatu mpaka mitano kwa siku kidogo kidogo...ukiacha kula baada ya muda mrefu hata kama Utakula baadae tumbo linakuwa kama limejaa gesi.
 
Habari wapendwa katika bwana,
Naomba niende kwenye hoja moja kwa moja
Tatizo langu ni tumbo kujaa hewa na kupelekea moyo kwenda kasi na wakati mwingine pumzi inabana hasa baada ya kula , yaani tumbo linajaa hewa na inanibidi nikae tu nikisema nilale hewa huja kifuani na kupelekea mapigo ya moyo kwenda kasi au hata pumzi kubana, ili kupata nafuu inanilazimu nikae tu nikisema nilale hali inakuwa tete, nilipoenda hospital walinipima kupimo cha ECG na CXR(chest x-ray) lakini hawakubaini tatizo kwenye moyo, hivi karibuni nilipima kipimo cha utra sound madakitari walibaini uwepo wa hewa nyingi tumboni, hivyo nilipewa vidonge aina ya OMEPRAZOLE NA ERYTHMYCIN Lakini mpaka sasa tatizo liko vilevile, wakuu na wapendwa wangu naomba msaada wenu, hakika nateseka sana ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu tumia matango mara kwa mara mkuu

Pole mnoo mkuu
 
Back
Top Bottom