Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu uongozi wasiwe bahiri watambue kuwa sasa hivi pesa pia inahusika kwe soka,angalia yale kina kamusoko ya yanga sijui wengine wanaitwa ngoma tunaonaga yanapga kazi kinoma,sasa c simba na timu letu la shiling mia lile inakuwa kazi kidogo..yaan simba kila cku utata ni usajili tu hasa wachezaji wa nje wengi huwa tunachemka kwan wakija huwa hawafany vizur,okwi pale tuliwin ila wengine amna kitu.........nawapongeza azam na yanga hata kama wamebutuliwa huko kimataifa ila usajili wanaofanya inaonyesha kweli jamaa wako serious kujenga timu yao..simba tunaishia kuish kwa historia tu ohh tunafunga waarabu mara cjui nn badala ya kusajili wachezaji wenye hazdhi ya kuchezea simba,simba sasa kama arsenal upumbafu mtupu
Mimi nishamfahamu baada ya kuleta uzi kuwa Young inapendelewa[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mkuu hongera sana leo umejipambanua vizur maana siku ile uliikana tima yako mchana kweupeeeee
Mbaya anakuwa Yanga eti ananunua mechi khaaa...............Simba imeangushwa sana viongozi hasa huu uongozi wa kina Aveva (jamaa kawekwa kama boksi) hana maamuzi yeyote
Hans Pope anapaswa kuondolewa kwenye hiyo kamati ya usajili ndio anaongoza kuiharibu klabu ya Simba
Mbaya anakuwa Yanga eti ananunua mechi khaaa...............
Sawa kabisa.Foward wakimpata Okwi,Mavugo na yule mshambuliaji wa Tusker kama sijakosea au hata type yao it's ok.Katikati iwapate wachezaji watatu type ya akina Echesa zamani hizo.Wengine tutapata humuhumu,ila inabidi kuangalia sana.mf mabeki inabidi wawe kama washambuliaji kama Kapombe au Juma Abdul.Vinginevyo tutakuwa wasindikizaji miaka nenda rudi hadi Aveva aondoke.kwa mfano kwa sasa mchezaji wa kigeni anyestahili kucheza simba ni murshid kidogo na majabvi hao wengine nikipita kwenye ndo ndo cup napata wanalingana viwango na wao. pia viongozi wajichunguze wenyewe kwa wenyewe kama kweli ni wamoja na hamna hujuma kati yao.
Karibu mkuu ingawa umekuja wakati timu imepwaya.Mi nimehamia Azam
Hapo kwa ka Alcohol na Juma abdul mbona mna kijana kariba yao tena bado mdogo kabisa anaitwa hasan kessy mmempeleka wapi kwani?Sawa kabisa.Foward wakimpata Okwi,Mavugo na yule mshambuliaji wa Tusker kama sijakosea au hata type yao it's ok.Katikati iwapate wachezaji watatu type ya akina Echesa zamani hizo.Wengine tutapata humuhumu,ila inabidi kuangalia sana.mf mabeki inabidi wawe kama washambuliaji kama Kapombe au Juma Abdul.Vinginevyo tutakuwa wasindikizaji miaka nenda rudi hadi Aveva aondoke.
Sawa kabisa.Foward wakimpata Okwi,Mavugo na yule mshambuliaji wa Tusker kama sijakosea au hata type yao it's ok.Katikati iwapate wachezaji watatu type ya akina Echesa zamani hizo.Wengine tutapata humuhumu,ila inabidi kuangalia sana.mf mabeki inabidi wawe kama washambuliaji kama Kapombe au Juma Abdul.Vinginevyo tutakuwa wasindikizaji miaka nenda rudi hadi Aveva aondoke.