KENY THOMAS
Member
- Sep 14, 2017
- 58
- 72
BigTime Kasie[emoji1635]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toba!Sitakii
Sijasema mimiAhaaaa nimekuja sasa, nani ana gundu? Jibuu
Cheers [emoji1635].
Happy Kasie mahaba, kwani hao wenu mnawapata sayari gani hadi mnaenjoy hivo? Mbona mimi sielewii [emoji849]
Perfect Mangiii.... mambooo...!!
Long time, good to see you again.
Happy New Year..!
Hahahaha, Kasie Mbona Umeshtuka Hivyo Toka Mafichoni?Mmasai...!!???
Huyu mbona simfahamu...!?
Ndo nani..!??
Wakulungwa....
Kasiee mahab matata jaman wenzio twateska
Japo joto kali, jua linawaka ila tabasamu halikauki usoni.....
View attachment 2082327
Najua nimeshapokea mafao ya uzeeni ila hii furaha ya leo ni nje ya mafao....
Mahaba niache nipange mipango maisha mapya ya kustaafu mweeeh mweeeh mweeeeh......
View attachment 2082329
Nasinzia nikikuwaza ooohhh....
Kumbatoooo, kumbatoo ndo kulogwa kwangu hapo ....😍😍
Kasinde Matata.
Niliona mtungi wa kijani wa gesi [emoji4].
Wakulungwa....
Japo joto kali, jua linawaka ila tabasamu halikauki usoni.....
View attachment 2082327
Najua nimeshapokea mafao ya uzeeni ila hii furaha ya leo ni nje ya mafao....
Mahaba niache nipange mipango maisha mapya ya kustaafu mweeeh mweeeh mweeeeh......
View attachment 2082329
Nasinzia nikikuwaza ooohhh....
Kumbatoooo, kumbatoo ndo kulogwa kwangu hapo ....😍😍
Kasinde Matata.
Mafao ya uzeeni huwa hayadumu saaaaaana...
Mapenzi hubadilika wewe Bibi...
Aaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebuu[emoji848][emoji848]