Duuuh, sasa huyu mtu
nimueleweje? Mara kamaliza SUA, mara anafundisha Tabora Boys, sasa yuko
1st yr...
Ctaki kusema k2, naogopa matusi yake anavyoporomosha ni
balaaa!!!!
Dogo anatukana watu wakati kichwani mweupe kama kiazi.
Tena atakuwa kampuni ya Turu au Aurora. Hana jeuri ya kuajiriwa na makapuni kama Knight Support, Ultimate Security au KK Securityukiangalia muda aliotuma post yake, inatosha kuhitimisha kuwa jamaa ni mlinzi ( securtiy guard) afadhali hata angekuwa polisi, magereza na jwtz, lakini ulinzi wake unategemea huruma ya mkurugenzi wa kamuni. na alikuwa lindoni, kwa sasa kalala
Tena atakuwa kampuni ya Turu au Aurora. Hana jeuri ya kuajiriwa na makapuni kama Knight Support, Ultimate Security au KK Security
nilitaka nipime akili yako! Make nilijua tu huna data kuhusu mathematics na informatics! Make form4 ulipata f na haujui informatics ni nini! Na akili yako ni mbovu huna budi kujiunga na chama cha mataila. We ndo uliyenifikisha chuo kikuu? Kaendelee kureseat unakamatwa kila mwaka make akili yako nisawa na ya fenesi!
Unapokuwa mwongo unapaswa uwe na kumbukumbu we dogo.... Haya si umeyaandika wewe??
Au ngoja niwawekee wadau link ya uozo wako ili waspoteze muda kubishana na wewe.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...1968-walimu-tufanye-ivi-kukomesha-dhalau.html
niko mwaka wa kwanza katika chuo kikuu kwa Bsc in INFORMATICS AND MATHEMATICS, ni semister ya kwanza sasa nimemaliza ila sijajua nikimaliza nitakuwa nani au nitafanya kazi gani!! msinishangae au kunidharau bali nikwasababu ya ubize maprof wanaonipa make kuna assynment kibao,test,quiz na endout mpaka nakosa mda wa kuuliza kichwa changu na kutafakali nitakuwa nani!naomba kwa waliosoma kozi ya ivo mniambie mnafanyakazi gani? au kama una ndugu yako amesoma hayo mambo naomba uniambie anafanya kazi gani. NITASHUKRU KWA USHILIKIANO WENU
nilitaka nipime akili yako!Make nilijua tu huna data kuhusu mathematics na informatics! Make form4 ulipata f na haujui informatics ni nini! Na akili yako ni mbovu huna budi kujiunga na chama cha mataila. We ndo uliyenifikisha chuo kikuu? Kaendelee kureseat unakamatwa kila mwaka make akili yako nisawa na ya fenesi!
nilitaka nipime akili yako! Make nilijua tu huna data kuhusu mathematics na informatics! Make form4 ulipata f na haujui informatics ni nini! Na akili yako ni mbovu huna budi kujiunga na chama cha mataila. We ndo uliyenifikisha chuo kikuu? Kaendelee kureseat unakamatwa kila mwaka make akili yako nisawa na ya fenesi!