Nasoma chuo kikuu ivi nifanye nini kuhusu hili hapa?

Nasoma chuo kikuu ivi nifanye nini kuhusu hili hapa?

Huyu jamaa cdhani kama anahamu tena na jf,,lazima arudi na ID nyingine! Njia ya muongo ni fupi! Tena ya kuaibika ndani yake!na cku zote muongo huwa hana kumbukumbu!
 
ukiangalia muda aliotuma post yake, inatosha kuhitimisha kuwa jamaa ni mlinzi ( securtiy guard) afadhali hata angekuwa polisi, magereza na jwtz, lakini ulinzi wake unategemea huruma ya mkurugenzi wa kamuni. na alikuwa lindoni, kwa sasa kalala
 
Duuuh, sasa huyu mtu
nimueleweje? Mara kamaliza SUA, mara anafundisha Tabora Boys, sasa yuko
1st yr...

Ctaki kusema k2, naogopa matusi yake anavyoporomosha ni
balaaa!!!!

wanakuwaga usalama wa taifa hawa!!,kila taasisi wao wapo tu
 
ukiangalia muda aliotuma post yake, inatosha kuhitimisha kuwa jamaa ni mlinzi ( securtiy guard) afadhali hata angekuwa polisi, magereza na jwtz, lakini ulinzi wake unategemea huruma ya mkurugenzi wa kamuni. na alikuwa lindoni, kwa sasa kalala
Tena atakuwa kampuni ya Turu au Aurora. Hana jeuri ya kuajiriwa na makapuni kama Knight Support, Ultimate Security au KK Security
 
Tena atakuwa kampuni ya Turu au Aurora. Hana jeuri ya kuajiriwa na makapuni kama Knight Support, Ultimate Security au KK Security

Ha ha ha ha ha ha! Au itakuwa ni Chui Security.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa mamlaka niliyonayo, nimekutunukia shahada ya uwongo ya chuo kikuu cha JF
 
Huyu dogo kaulizwa hilo swali na kademu kake, kwakua ye ni fomu foo failure, na kwakua anataka aendelee kuonekana sio kilaza, amekuja humu kuchukua maujanja, ili aonekane alifeli kwa bahati mbaya kwa demu wake.
 
nilitaka nipime akili yako! Make nilijua tu huna data kuhusu mathematics na informatics! Make form4 ulipata f na haujui informatics ni nini! Na akili yako ni mbovu huna budi kujiunga na chama cha mataila. We ndo uliyenifikisha chuo kikuu? Kaendelee kureseat unakamatwa kila mwaka make akili yako nisawa na ya fenesi!

Nafikiri wewe ama umechanganyikiwa au unafikiri JF ni kijiwe cha wajinga wajinga. Ulianza vizuri na Malibu ya ulivyoanza ameyaweka vizuri KIFYATU. Na kwa maneno haya nimechefuka! Hata hivyo nimefarijika kwa maneno ya ASPRIN ambaye amekufunua jinsi ulivyo hata nikaona kumbe sipaswi kumiza kichwa kwa mtu wa aina yako maana u wa hovyo! Badili tabia.
 
niko mwaka wa kwanza katika chuo kikuu kwa Bsc in INFORMATICS AND MATHEMATICS, ni semister ya kwanza sasa nimemaliza ila sijajua nikimaliza nitakuwa nani au nitafanya kazi gani!! msinishangae au kunidharau bali nikwasababu ya ubize maprof wanaonipa make kuna assynment kibao,test,quiz na endout mpaka nakosa mda wa kuuliza kichwa changu na kutafakali nitakuwa nani!naomba kwa waliosoma kozi ya ivo mniambie mnafanyakazi gani? au kama una ndugu yako amesoma hayo mambo naomba uniambie anafanya kazi gani. NITASHUKRU KWA USHILIKIANO WENU

Wewe upo chuo kikuu kweli?
 
nilitaka nipime akili yako!Make nilijua tu huna data kuhusu mathematics na informatics! Make form4 ulipata f na haujui informatics ni nini! Na akili yako ni mbovu huna budi kujiunga na chama cha mataila. We ndo uliyenifikisha chuo kikuu? Kaendelee kureseat unakamatwa kila mwaka make akili yako nisawa na ya fenesi!

Imekuwaje tena, unaanza kumtukana mwenzio. Jenga hoja.
 
Siku za muongo siku hizi ata 16 azifiki.. Cheki uyu boya alivyo umbuka hadharani... Badili ID uendeleze utapeli *Mbuzimawe*

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
nilitaka nipime akili yako! Make nilijua tu huna data kuhusu mathematics na informatics! Make form4 ulipata f na haujui informatics ni nini! Na akili yako ni mbovu huna budi kujiunga na chama cha mataila. We ndo uliyenifikisha chuo kikuu? Kaendelee kureseat unakamatwa kila mwaka make akili yako nisawa na ya fenesi!

Ndugu mleta mada usipandishe hasira,siku izi ni kawaida kuambulia matusi pale unapohitaji msaada,,kwani matokeo ya form four hujayasikia?
 
Back
Top Bottom