Nasoma chuo kikuu ivi nifanye nini kuhusu hili hapa?

Nasoma chuo kikuu ivi nifanye nini kuhusu hili hapa?

Joined
Mar 4, 2013
Posts
93
Reaction score
9
niko mwaka wa kwanza katika chuo kikuu kwa Bsc in INFORMATICS AND MATHEMATICS, ni semister ya kwanza sasa nimemaliza ila sijajua nikimaliza nitakuwa nani au nitafanya kazi gani!! msinishangae au kunidharau bali nikwasababu ya ubize maprof wanaonipa make kuna assynment kibao,test,quiz na endout mpaka nakosa mda wa kuuliza kichwa changu na kutafakali nitakuwa nani!naomba kwa waliosoma kozi ya ivo mniambie mnafanyakazi gani? au kama una ndugu yako amesoma hayo mambo naomba uniambie anafanya kazi gani. NITASHUKRU KWA USHILIKIANO WENU
 
miye nakutusi kwanza kama utachukia pouwa tu huna akili, alafu ni mjinga nakushauri acha chuo tu maana hujitambui so hata ukisoma at the end utashindwa apply ur knowledge maana hujitambui wewe so rudi home ukijua unataka nini na uwe nani basi rudi shule byue.

nilitaka nipime akili yako! Make nilijua tu huna data kuhusu mathematics na informatics! Make form4 ulipata f na haujui informatics ni nini! Na akili yako ni mbovu huna budi kujiunga na chama cha mataila. We ndo uliyenifikisha chuo kikuu? Kaendelee kureseat unakamatwa kila mwaka make akili yako nisawa na ya fenesi!
 
Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama..!!! Hukua na sababu za kumtukana, hapa ni JF where we dare to talk openly.. So kila mtu ana haki ya kuchangia wazo lolote katika jukwaa lolote as long as he/she has access to it..!!! Wakati mwengine BAN zinakua za kujitakia.

Tukirudi katika mada, JF ni uwanja mpana, so watakuja tu wasomi wenzio watakupa data za kutosha kuhusiana na kozi hiyo uliyoichagua mwenyewe! Jambo la kupendeza ni kwamba huibikiri kozi hiyo, hivyo kuna watu wamesoma hiyo kozi and probably they are around, so they will come.. Ingekua kozi za biashara ningefunguka vizuri tu!
 
niko mwaka wa kwanza katika chuo kikuu kwa Bsc in INFORMATICS AND MATHEMATICS, ni semister (semester) ya kwanza sasa nimemaliza ila sijajua nikimaliza nitakuwa nani au nitafanya kazi gani!! msinishangae au kunidharau bali nikwasababu ya ubize maprof wanaonipa make (maana yake) kuna assynment (assignment) kibao,test,quiz na endout (handout) mpaka nakosa mda (muda) wa kuuliza kichwa changu na kutafakali nitakuwa nani!naomba kwa waliosoma kozi ya ivo mniambie mnafanyakazi gani? au kama una ndugu yako amesoma hayo mambo naomba uniambie anafanya kazi gani. NITASHUKRU KWA USHILIKIANO WENU

Kama jina lako linavyosema, USICHOKE kuuliza. Hakuna swali la kijinga and for all you know kuna wengi humu watafaidika na majibu utakayopata.

Samahani kwa ku-edit posting yako hapo juu lakini kitu cha kwanza cha kuzingatia, hasa kwenye fani yako, ni kuweza kujieleza vizuri. Jaribu mara nyingi, hasa hapa jamvini, kama una-post kitu serious kama hii topic yako, andika as if unapeleka maombi ya kazi kwa potential employers.

Sasa kuhusu fani yako ya INFORMATICS: Hii ni fani ambayo inakufanya uwe very flexible na uchaguzi wa kazi. Literally, you can be a JACK-OF-ALL-TRADES. Karibu sectors zote siku hizi zinatafuta system analysts / information technoogy specialists. Unaweza ku-apply ujuzi wako in medicine (records or cutting edge research), financial systems, self-employment, etc. INFORMATICS turns data and information into KNOWLEDGE as such you are spoiled for career choices. Sky is the limit!

Uzuri mmoja ni kwamba uko mwaka wa kwanza. Jaribu kutafuta internships kwenye fani nyingi between now and your graduation day. Sijui uko chuo gani lakini nina uhakika kuna CAREER SERVICES CENTER hapo chuoni ambapo unaweza kupata ushauri. I would also talk to your profs. to get their opinions.

Very smart of you to start thinking of your future path this early.

GOOD LUCK.
 
nilitaka nipime akili yako! Make nilijua tu huna data kuhusu mathematics na informatics! Make form4 ulipata f na haujui informatics ni nini! Na akili yako ni mbovu huna budi kujiunga na chama cha mataila. We ndo uliyenifikisha chuo kikuu? Kaendelee kureseat unakamatwa kila mwaka make akili yako nisawa na ya fenesi!
He, kumbe BSc Mathematics and Informatics watu husomea jinsi kutukana?
 
niko mwaka wa kwanza katika chuo kikuu kwa Bsc in INFORMATICS AND MATHEMATICS, ni semister ya kwanza sasa nimemaliza ila sijajua nikimaliza nitakuwa nani au nitafanya kazi gani!! msinishangae au kunidharau bali nikwasababu ya ubize maprof wanaonipa make kuna assynment kibao,test,quiz na endout mpaka nakosa mda wa kuuliza kichwa changu na kutafakali nitakuwa nani!naomba kwa waliosoma kozi ya ivo mniambie mnafanyakazi gani? au kama una ndugu yako amesoma hayo mambo naomba uniambie anafanya kazi gani. NITASHUKRU KWA USHILIKIANO WENU

Unapokuwa mwongo unapaswa uwe na kumbukumbu we dogo.... Haya si umeyaandika wewe??

umekalili eti SUA ni kilimo tu! kuna kozi nyigi sana, matokeo ya SUA nina 1'st class na GPA ya 4.3 we una division 4 ya ngapi katika mtihani wa kidato cha nne?

Nko TABORA BOYS NAFUNDISHA MATHEMATICS V NA VI! VIPI WEWE UMEFIKIA WAPI NA BAHASHA?

Ilikuwa mwaka 2010 wakati wa campaign za kikwete,akasema walimu ni..............! sa ivi vanaosoma kozi zisizo za ualimu wanaona wao ndo walifaulu mitihani ya kidato cha 4 na 6! na hawajui kuwa wataenda kubebelea baasha wakiwa wanatafuta kaz! sa walimu tufanye ivi kwasasa tuna mtaji walau wa kuanzisha kakibanda katakako2fanya 2savave!!! tuache ualimu walau kwa mwaka mmoja tuone hao wanaojidai kama watatokea tena!!!!!!!!!!!! au walim mnasemaje

kwa taalifa yako nina dvn one ya point 7 PCM na nimesoma katika chuo kikuu cha sokoine(SUA) Bsce(INFORMATICS AND MATHEMATICS) sa ivi ni mwalimu wa shule kubwa inayozalisha dvn 1 kila mwaka usione term hii serikali imetufanyia udwanzi

Au ngoja niwawekee wadau link ya uozo wako ili waspoteze muda kubishana na wewe.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...1968-walimu-tufanye-ivi-kukomesha-dhalau.html
 
Chama cha matahaira(c.c.m) ingekua mimi,ningejiuzulu jf
nilitaka nipime akili yako! Make nilijua tu huna data kuhusu mathematics na informatics! Make form4 ulipata f na haujui informatics ni nini! Na akili yako ni mbovu huna budi kujiunga na chama cha mataila. We ndo uliyenifikisha chuo kikuu? Kaendelee kureseat unakamatwa kila mwaka make akili yako nisawa na ya fenesi!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa. Siyo kila jambo ni la kuwapotezea watu muda wakutoa maoni ya vitu vingine vyamsingi. Kuwa chuo kikuu was an issue during those days of the original JK. In fact, most of those posting their comments on JF are graduates if not graduates-in-the making so I find no news here. Kama haujui ukimaliza utakuwa nani sasa unasoma ili iweje? Did we really need to know what you are doing at the university? Arent we equally brainy or even more schooled than you? Be serious please. Nimeamua kuku-quote kwasababu reaction yake kwenye post yako haitoi picha ya mtu anayesoma. He sounds like someone who is rude and of course, who has no future. Pole ndugu yangu ingawa mengine kweli yanaboa.

Back
Top Bottom