Nasoma chuo kikuu ivi nifanye nini kuhusu hili hapa?

Nasoma chuo kikuu ivi nifanye nini kuhusu hili hapa?

niko mwaka wa kwanza katika chuo kikuu kwa Bsc in INFORMATICS AND MATHEMATICS, ni semister ya kwanza sasa nimemaliza ila sijajua nikimaliza nitakuwa nani au nitafanya kazi gani!! msinishangae au kunidharau bali nikwasababu ya ubize maprof wanaonipa make kuna assynment kibao,test,quiz na endout mpaka nakosa mda wa kuuliza kichwa changu na kutafakali nitakuwa nani!naomba kwa waliosoma kozi ya ivo mniambie mnafanyakazi gani? au kama una ndugu yako amesoma hayo mambo naomba uniambie anafanya kazi gani. NITASHUKRU KWA USHILIKIANO WENU
mkuu umeharibu!!!!! mwisho wa uongo ni aibu!!!!
 
Kwa kozi hiyo unayoisoma utakuwa upo SUA na miongoni mwa ajira za moja kwa moja wewe pia itakuhusu maana BSC. Informatics and Mathematics ni mwalimu kwa hiyo usiwaze kuhusu ajira
 
niko mwaka wa kwanza katika chuo kikuu kwa Bsc in INFORMATICS AND MATHEMATICS, ni semister ya kwanza sasa nimemaliza ila sijajua nikimaliza nitakuwa nani au nitafanya kazi gani!! msinishangae au kunidharau bali nikwasababu ya ubize maprof wanaonipa make kuna assynment kibao,test,quiz na endout mpaka nakosa mda wa kuuliza kichwa changu na kutafakali nitakuwa nani!naomba kwa waliosoma kozi ya ivo mniambie mnafanyakazi gani? au kama una ndugu yako amesoma hayo mambo naomba uniambie anafanya kazi gani. NITASHUKRU KWA USHILIKIANO WENU

Pole sana kwa tatizo hilo kwa mfumo wetu wa elimu si ajabu kusikia Kauli hizo but wake up hiyo sio dalili njema kila mwanachuo anakuwa na academic advisor tengeneza naye urafiki atakuwa msaada kwako kwamambo mengine mengi
 
mimi binafsi nimesikitishwa sana na matus pamoja na jokes alizozitoa huyo kijana mtoa maada hapa. Nikweli hiyo koz inatolewa SUA' na kiukwel hicho Chuo ni miongon mwa vyuo bora kabisaa Tanzania(nafasi ya pili) na Afrika (nafasi ya 90) kwa ujumla. Kimekuwa ni chuo kinachoongoza kwa kutoa smart graduates hapa nchin na Afrika kwa ujumla , kwa mfano mm nkiwa nimesoma pale BSC Environmental Science and Management, 2011, kuna kampuni moja ya MIning ilichukua karibu robo ya wahitimu that year kwenye koz yetu na kutuajili, hii ni kotokana na heshima kubwa iliyowekwa kutokana na kujituma na kudeliver the expectations kwa kaka na dada zetu walipokuwa wanapata kazi.
To be honest unapokutana na graduate from Sua, though wanaweza kuwa c wote kwa idadi, Ila utagundua utofaut mkubwa ukilinganisha na baadhi ya some graduates wa vyuo vingine vingine' So nashindwa kuamin kama huyu mtoa maada alishawah kupita kwenye tanuru la SUA. Na kama ndivyo bas asingekuwa na adabu mbaya kiac hik' Huwez kutoa matus kiac hicho wakati waajir mbali mbali nao wanapita humu jamvin ' plz naomba ucrudie kuchafua sura na hulka nzur ya Wana SUA ktk jamii.
 
Pia nahisi mambo ya monitoring and evaluation yatakua within reach ,bila kusahau issue za Data Management ambazo zinalipa sana. finally elimu ni elimu mzee hakuna elimu isiyokua na rewards.By the way zile elimu zoote pale chuo ambazo hazieleweki huku mtaani ndo zinalipa vizuri. It's a matter of time hata ukisoma utamaduni na sanaa unaweza kuangukia UNESCO au ubalozini ukashangaa. Just relax and enjoy your assignments, quizzes, tests and surprised tests and leave the rest for the future to take care. Ukitanguliza pesa then elewa kwamba you are killing your inborn talents silently and smoothly.
 
Ndiyo maana sisi wengine hatupendi kupost....
 
Huyu jamaa cdhani kama anahamu tena na jf,,lazima arudi na ID nyingine! Njia ya muongo ni fupi! Tena ya kuaibika ndani yake!na cku zote muongo huwa hana kumbukumbu!

Daaah..
Kumbe ulikuwa unamawazo kama yangu..kwa hizi bakora kazima ajipange upya..
 
this chronological oder could be correct

niko mwaka wa kwanza katika chuo kikuu kwa Bsc in INFORMATICS AND
MATHEMATICS,

matokeo ya SUA nina 1'st class na GPA ya 4.3

Nko TABORA BOYS NAFUNDISHA MATHEMATICS V NA VI!
HACHOKI TALEMWA narrated his story in flashback!?/is this ID used by several people!?

there are some things, which when done (by a grown up) leaves more questions than answers.
 
Last edited by a moderator:
kijana huwezi kuwa mwalimu kwan hujasôma masomo ya kufundishia
 
Sina budi kuomba msamaha kwa wana jf wote kwa kitendo kibovu nilichokifanya cha kwenda kinyume na sheria za jf"SAMAHANI". Sikupanga kutukanana ila kama tujuavyo Dawa ya moto ni moto! nimeomba msaada akanitukana kweli na mimi kumjibu ivyoivyo nimekosa? jamani wana jf tuache matusi tusaidiane kupeana majibu,pia usidharau swali la mwenzio bali lijibu kama huna jibu acha wenye majibu wajibu! niliuliza swali hili nikiwa na malengo kadha wa kadha lengo la kwanza ni kujua nikimaliza chuo nitakuwa nani? kwasababu tumekuwa tukiambiwa kuwa hakuna kazi nyingine tofauti na kuwa mwalimu! na mimi wengi wamenikatisha tamaa baada ya kuwaona walimu ni walioshindwa mtihani! nawakati mimi kwa nimeshinda mitihani yote kuanzia chekechea hadi kidato cha sita! kuna jamaa nimeshutukia nimeshamdanganya kuwa mimi ni mwalimu wa Tabora boys kwa sababu ya lugha mbaya katika kutoa comment! ni kweli kwamba mi ni mwanachuo mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha sokoine 2012/2013. Masuala ya kukosea maneno ni sababu ya kuzoea kuandika namba na kama mnavyojua kuwa hata English ya Hesabu ni ya kawaida sio kama ya History,Biology au kipindi kingine chochote! Ahsante kwa msaada wenu
 
Back
Top Bottom