Nasra Mohamed: Ukatili na unyanyasaji uliovuka mipaka!

Ni ngumu kuthibisha hayo unayo yasema eti hayakuwa yanatoka moyoni,na kwamba alikuwa hamaanishi hayo yote alio yasema!!! thubutu! huwezi jua nyie wanawake hamuamininki sana!!! japo c wote!!! so usijipe 100% ya hayo uliosema hapo juu kuwa ni kweli.
 
Ni ngumu kuthibisha hayo unayo yasema eti hayakuwa yanatoka moyoni,na kwamba alikuwa hamaanishi hayo yote alio yasema!!! thubutu! huwezi jua nyie wanawake hamuamininki sana!!! japo c wote!!! so usijipe 100% ya hayo uliosema hapo juu kuwa ni kweli.
Hapa hakuna anaeujua ukweli, tunajaribu tu kuchangia kile tunachohisi. Ndio mana kuna mahali nilisema ndoa ni ngumu. Ukweli wote anao Nasra na mume wake.. Kuhusu suala la uaminifu sio wanawake peke yetu ndio hatuaminiki,.. Wanaume pia hawaaminiki kiukweli...

Hapa simtetei Nasra manake hajafanya sawa, pia mumewe simtetei kwa kumburuza mkewe manake sio ubinadamu! Angeweza kumshtaki kuliko alivyofanya. Wote wana makosa!
 
Hii ndiyo typical tabia za wake zetu [wengi wao] wanakimbilia kumdhalilisha mme kuwa hafai na watoto si wake baaday ya kuachana lakini wakati wa mapenzi moto moto mmhhh.........
it pains alot lakini nadhani dawa kubwa ni kunyamaza kimya[kwani nako ni kusema] vinginevyo kina tamwa wanakuja juu kuhusu udhalilishaji wa kina mama. Lakini sijawahi kuwasikia wakilaani udhalilishaji wa kina baba.
 
kwani ukimuadhibu mtu ndo machungu yanaisha moyoni, mbaba angepotezea tu
 
SL post zako zote kwenye hii thread nimezisoma,majumuisho yangu ni kuwa unasisitiza kuwa balaa lote kalianzisha mwanaume kwa kutoka nje,si ndio? kwa lugha nyingine Nasra,malaika wa watu,mke mwema,yeye ni mhanga wa tukio zima. Kwa mtizamo huu basi ina maana tukiingia kwenye ndoa nyoyo zetu tuzivalishe kombati la chuma ili zikose hisia kabisa.Ahsante kwa ushauri huo,kinamama hoyeeeeeeee!
 
kwani ukimuadhibu mtu ndo machungu yanaisha moyoni, mbaba angepotezea tu

Kutokana na mtiririko mzima wa maelezo ya tukio kuna kila dalili kuwa jamaa hakukusudia kumpa adhabu yoyote ila baada ya maneno na kuzid kufuatwa fuatwa na mkewe (Nasra) alipandwa na hasira ndo kafanya yaliyotokea.Ogopa hasira ikizid kipimo ndgu!!!!! waweza fanya usichotarajia maishani mwako!!!!
 
pole zao,matusi mbona miaka nenda rudi tunatukanana na hatuuani??? mie nahisi bado wanapendana nasra bado anampenda mumewe ndio maana anabother kwenda sehemu ambazo yupo,she feels deep hurt and betrayed by her husband to the extent she cant deal with it....NA MUMEWE PIA,anampenda nasra to the extent hapendi kumuona na mwanaume mwingine,ndio maana akataka kumuua ili WAKOSE WOTE.
 
Sijasema Nasra ni mke mwema wala malaika, tena uache kunilisha maneno...

Inawezekana ana makosa mengi zaidi ya hilo la mume wake!...kwa mujibu wa hii habari aliyeanza kumkosea mwenzie ni mume wa Nasra, Nasra nae kwa hasira kakosa busara na kuamua kumaliza tatizo kwa njia isiyo nzuri!( kulipiza kisasi, kumtukuna mumewe n.k) mwisho wa siku yakamkuta yaliyomkuta manake mume nae kashindwa kuzuia hasira zake!

Bishanga hakuna Malaika chini ya jua bana!
 

kila mtu ana hasira,kesho utazaa toto litakusumbua kulidiscpline kila saa linakuchokoza utaliua pia???hamna justification ya kuua mtu kabisaa
 
mimi tena? Ntake radhi, mi nakutafutia mema ya nchi

unajua nini...mwanamke ni wa kumuwazia mema na kumtakia mema hata kama kakuudhi....hayo ya adhabu anayajua Mwenyezi Mungu peke yake...sisi haturuhusiwi kuhukumu

come this way

Karibu mkuu,

Hiki kisa ni kizito sana....Hawa watu sijui walipatwa na shetani gani.....Halafu nashindwa kumwelewa huyo mwanamume ambaye alikubali kutumiwa na nasra kumrusha roho mume wake. Mji wenyewe wa Bunda mdogo kama kijiji, sijui huyo mwanamume alijamini nini au alilipwa kiasi gani hadi akakubali kusimama wima mbele ya AK47!!

Babu DC!!
 
yan knachoboa hapo tc the way nasra anavojtamba kwa uzinif wake n kumkashif mwenzie kiac hko n kama yeye aliona adhab ya kumpa mwenzie ni kumkashf everywea ndivo jamaa alivoona adhab ya kuua inafaa


Ni kweli Nasra alifanya vitu vya ajabu sana (kwa maelezo niliyopewa)...Halafu taarifa zinasema alimwaga matusi mazito mazito kwa mume wake, na ukizingatia kuwa walikuwa stand ya bus....Kwa umati wa watu uliokuwepo, kwa kweli aliamua kumdhalilisha mume wake.

Na hapo ni baada ya kufanya visa kila mara kumfuata mume wake kwenye vijiwe vya kinywaji akiwa na huyo bwana wake mpya!! Na pia inasemekana kila mara alijaribu kum-provoke kwa matusi.

Hata hivyo, huyo mwanamume alishindwa nini kutumia njia za kisheria kumshikisha adabu hadi amuue tena kwa kumnyofoa nyama??

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…