Nasra Mohamed: Ukatili na unyanyasaji uliovuka mipaka!

Asante babu DC manake umegusa penyewe haswa...

Mie pia namchukulia Nasra kama ameathirika kisaikolojia baada ya tukio, manake kwa mujibu wa habari amefanya too much kwa mume wake! Hakuwa na hata chembe ya busara!

nadhan nasra alifanya vitu pas kufikiria, kwa nini mume asiwe kaathirika kisaikolojia? maana maamuz ya ajabu
 
Ni kweli ila kutokufikiria huko kulisababishwa na nini? Mume aathiriwe na nini wakati yeye ndie kafumaniwa?... Hapa wote wawili walikosa busara, ila ukumbuke mioyo yetu ni tofauti yaezekana Nasra alishindwa kulipokea tatizo na kujipa muda wa kufikiri,..amini nakwambia alichokuwa anakifanya Nasra ni kujipooza maumivu alokuwa nayo...
 
Mkuu wangu Babu Major General (unavyeo vingi hadi nachoka lol) Dc...

Kwanza nimefurahi kwa kutupa upande wa pili wa kisa, hakika umewafunika hata watu wa media zetu ambao matukio ya msingi kama haya huwa wanaishia kuyapapasa tu na kuacha visa vinaelea tu.

Hapa umetuonyesha kipaji chako kingine Babu... shukrani sana..!

Kama nilivyokisia mwanzoni kuwa hii ngoma utata umeanzia "Nyumba ndogo tu"...
Ila mkasa kamili umesawazisha makisio... Hizi ndoa zimekuwa ngumu sana hadi naogopa kutia neno..

Unajua tutazunguka na mchezo wa maneno hapa ila ukweli utabaki jamani nyumba inajengwa na MWANAMKE na inabomolewa na MWANAMKE mwenyewe.....
Ukiuangalia huo mkasa unaona kabisa nafasi ya huyo Nasra ilivyokuwa, ambavyo angeweza kurudisha furaha ya familia yake ila upande alioelekea kwa kiasi kikubwa UMEBOMOA sio tu nyumba yake bali hadi MAISHA ya familia yake...
Siijui Biblia ila kuna mstari unazungumzia hicho kitu!

Wanaharakati wa haki za wanawake wangejikita kwenye kuwaelekeza wanawake namna ya kuwa "MWANAMKE BORA" na hatimaye MKE BORA (Kama akiolewa) nadhani ndoa nyingi zingeokoka sana tofauti na haya mahubiri ya "USAWA"...
Ndoa nyingi zina nafasi ya kusambaratika kwa mahubiri haya...

MWANAMKE ana nguvu ya ajabu kuponya Dunia, kwa nafasi ile aliyonayo ni kuonyeshwa tu hizo potential zao bahati mbaya sana kwa hali ilivyo sasa.
 
@jouneGwalu mie bado sijakuelewa vizuri....

unataka kuniambia kuwa mwanamke hata akimfumania mumewe aendelee tu kuvumilia manake akisema/kufanya chochote atakuwa anabomoa nyumba yake?
 
Sijasema hivyo sl...
Naamini kulikuwa na njia bora zaidi kuliko kulipa kisasi...
Ila pia naamini unakubali kuwa "Mwanamke mwerevu huijenga nyumba yake na mpumbavu huivunja"

.....dahhhh,

Provacation za huyo mdada nazo zilivuka mpaka....
Ila huyo mheshimiwa naye anabeba 50% ya lawama...
kuepusha hayo, angemuandikia tu talaka yake.

Kwenye kuachana na talaka kuna mengi...
 
Ahsante sana kaka JG,

Napokea shukrani zake na mengine uliyoyaeleza kwa unyenyekevu mkubwa mno.....

Mie nilijua narusha story na sikuwa na hili wala lile kwamba inaweza kureveal vitu vingine zaidi juu ya Babu DC wa 1947!!

Maoni yangu kuhusu post yako hayatofautiani na yale ya SL hapo chini!

@jouneGwalu mie bado sijakuelewa vizuri....

unataka kuniambia kuwa mwanamke hata akimfumania mumewe aendelee tu kuvumilia manake akisema/kufanya chochote atakuwa anabomoa nyumba yake?

SL,

Hata mie sikumuelea vizuri mkuu JG, cheating inauma kote kote. Kama ambavyo wanaume tunaumia na wanawake pia nao wanaumia. Halafu tunatofautiana katika uwezo na karama za kudeal na matokeo ya kuumizwa kunakotokana na cheating!

Reactions za Nasra zinaweza kuwa weird ila alihitaji zaidi msaada wa kisaikolojia ambao hakuupata.

Tunahitaji kubadili mtazamo ili tuweze kuhandle kila tukio kama unique incident badala ya kuendelea kuweka kila kitu kwenye kapu moja, either kulaumu wanawake au wanaume!

Babu DC!!
 
Bora mi nimeamua kuuset moyo wangu mapema juu ya hayo mambo ya cheating.

Pole sana Hus,

Ngoja nisubiri wataalamu wanisaidie kama kuna uwezekano wa kupata the highest precision of risk assessment and management kwenye mambo ya ndoa!!

Babu DC!!
 
.....dahhhh,

Provacation za huyo mdada nazo zilivuka mpaka....
Ila huyo mheshimiwa naye anabeba 50% ya lawama...
kuepusha hayo, angemuandikia tu talaka yake.

Kwenye kuachana na talaka kuna mengi...

Kweli mkuu,

Tunaweza kuhisi au kuchukulia kwamba baada ya incident ya kumfumania mume wake, Nasra alikuwa mentally fit?

Na kati Nasra na mume wake, nani alikuwa na fursa nzuri (based on mental and psychological soundness) ya kuepusha maafa?

Binafsi nadhani, mwanamume angeweza kujiepusha na huu mkasa kama angetumia busara au washauri wazuri!! I stand to be corrected!

Babu DC!!
 
Pole sana Hus,

Ngoja nisubiri wataalamu wanisaidie kama kuna uwezekano wa kupata the highest precision of risk assessment and management kwenye mambo ya ndoa!!

Babu DC!!

babu hakuna anafurahia kusalitiwa ila najua itafikia wakati itaonekana ni jambo la kawaida. Halafu nimegundua cheating inawaumiza zaidi wanawake kuliko wanaume.
 
Sijasema hivyo sl...
Naamini
kulikuwa na njia bora zaidi kuliko kulipa kisasi...
Ila pia naamini unakubali kuwa "Mwanamke mwerevu huijenga nyumba yake na mpumbavu huivunja"

Maoni yangu kuhusu post yako hayatofautiani na yale ya SL hapo chini!

SL,

Hata mie sikumuelea vizuri mkuu JG, cheating inauma kote kote. Kama ambavyo wanaume tunaumia na wanawake pia nao wanaumia. Halafu tunatofautiana katika uwezo na karama za kudeal na matokeo ya kuumizwa kunakotokana na cheating!

Reactions za Nasra zinaweza kuwa weird ila alihitaji zaidi msaada wa kisaikolojia ambao hakuupata.

Tunahitaji kubadili mtazamo ili tuweze kuhandle kila tukio kama unique incident badala ya kuendelea kuweka kila kitu kwenye kapu moja, either kulaumu wanawake au wanaume!

Babu DC!!

Naona tupo kwenye page moja Babu...cheki hizo red!
 
Mwanaume anaouwezo wa kuoa mwanamke zaidi ya mmoja na sii mwanamke,kwani baada ya kufumaniwa angeenda amwambie mke wake kuwa huyo mwanamke ndiye ninayetaraji kumuoa kuwa mke wa pili kwani angefanyaje?
 
Kweli mkuu,

Tunaweza kuhisi au kuchukulia kwamba baada ya incident ya kumfumania mume wake, Nasra alikuwa mentally fit?

Na kati Nasra na mume wake, nani alikuwa na fursa nzuri (based on mental and psychological soundness) ya kuepusha maafa?

Binafsi nadhani, mwanamume angeweza kujiepusha na huu mkasa kama angetumia busara au washauri wazuri!! I stand to be corrected!

Babu DC!!

.....ok....hapa twazunguzia kama wasomaji tu...bi Nasra (myb) hakuwa mental fit...unamaanisha nini?
Hasira?.....kama ni hasira, twajua sote tangu udogoni hasira hasara...
pls dnt tell me ati aliwehuka...

Je, vipi labda washauri wa bi Nasra ndio waliomshikisha pembe amkomoe mumewe?
kutembea nje tena waziwazi, kumtukana mumewe kwamba hana nguvu za uume, watoto si wake..
binafsi ni tusi ambalo halistahmiliki, sembuse kutukanwa stendi...
have you ever imagine ungekuwa kwenye nafsi ya huyo mwanaume kwa wakti huo?

Anyway, wote wanalaumika kwa jinsi walivyompa nafsi shetani awatawale....
mw'mungu atuepushie tu kaka...inauma sana.
 
Naona tupo kwenye page moja Babu...cheki hizo red!

Ila mkuu labda kwa upande mwingine, nadhani tunatofautiana pale ambapo unajaribu kuonesha kuwa Nasra ambaye tayari alishakuwa victim, may be ndiye alitakiwa kujitafutia msaada wa kisaikolojia. Kumbuka, wakati huo tayari alishakuwa psychologically compromised. Kama ni kweli, basi mume na ndugu ambao walimwona mtu anabadilika sana kutoka kwenye hali yake ya kawaida na hawakuchukua hatua wanabeba shea kubwa ya lawama!!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mwanaume anaouwezo wa kuoa mwanamke zaidi ya mmoja na sii mwanamke,kwani baada ya kufumaniwa angeenda amwambie mke wake kuwa huyo mwanamke ndiye ninayetaraji kumuoa kuwa mke wa pili kwani angefanyaje?

Kaka ndoa haziendi hivyo...nadhani kwa maelezo tuliyopata, Nasra na mume wake ni waislamu na sheria za dini yao ziko clear. Sidhani kama inaruhusiwa mwanamume kutangaza ndoa ya mke wa pili baada ya kufamaniwa akifanya zinaa!!

Naomba kama mie ndiye sielewi vizuri unisaidie!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
.....ok....hapa twazunguzia kama wasomaji tu...bi Nasra (myb) hakuwa mental fit...unamaanisha nini?
Hasira?.....kama ni hasira, twajua sote tangu udogoni hasira hasara...
pls dnt tell me ati aliwehuka...

Je, vipi labda washauri wa bi Nasra ndio waliomshikisha pembe amkomoe mumewe?
kutembea nje tena waziwazi, kumtukana mumewe kwamba hana nguvu za uume, watoto si wake..
binafsi ni tusi ambalo halistahmiliki, sembuse kutukanwa stendi...
have you ever imagine ungekuwa kwenye nafsi ya huyo mwanaume kwa wakti huo?

Anyway, wote wanalaumika kwa jinsi walivyompa nafsi shetani awatawale....
mw'mungu atuepushie tu kaka...inauma sana.

Nilichojaribu kusema kaka, ni kwamba hayo matatizo ya Nasra yalijitokeza baada ya tukio la kumfumania mume wake. Kama hakuwa anafanya hivyo huko nyuma, tutakuwa tunakosea tukisema hakuwa kwenye hali yake ya kawaida, mentally and psychologically?

Nakubaliana na wewe kwamba provocations za Nasra zilikuwa kubwa sana. Ila, kwani mume wake asingeweza kutafuta mbinu nyingine? Mfano, walikuwa karibu na kituo cha polisi, kwa nini hakumkamata akampeleka mwenyewe kituoni?

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
babu hakuna anafurahia kusalitiwa ila najua itafikia wakati itaonekana ni jambo la kawaida. Halafu nimegundua cheating inawaumiza zaidi wanawake kuliko wanaume.

Hapana Hus,

Siyo rahisi kusema, ila nakueleza ukweli wangu kwamba hakuna kitu mwanamume anakiogopa kama mke wake kutembea nje ya ndoa. Ndiyo maana wanakuwa maniac baada ya tukio kama hilo.

Niliwahi kusema huko nyuma kuwa, cheating is very gender sensitive na hii ni karibia katika jamii zote!!

Babu DC!!
 
Nilichojaribu kusema kaka, ni kwamba hayo matatizo ya Nasra yalijitokeza baada ya tukio la kumfumania mume wake. Kama hakuwa anafanya hivyo huko nyuma, tutakuwa tunakosea tukisema hakuwa kwenye hali yake ya kawaida, mentally and psychologically?

Nakubaliana na wewe kwamba provocations za Nasra zilikuwa kubwa sana. Ila, kwani mume wake asingeweza kutafuta mbinu nyingine? Mfano, walikuwa karibu na kituo cha polisi, kwa nini hakumkamata akampeleka mwenyewe kituoni?

Babu DC!!

....naaam kaka, mie ustahmilivu wa huyo mume nimeusoma kwenye maandishi haya,
ndio maana hata mahakamani kesi yaamuliwa either 1st degree murder, au Manslaughter ( bila kukusudia)
Provocation za bi Nasra zinaonyesha intention yake/ zake zililenga kum provoke mumewe. Calculated risks

?......Nasra aliamua kutafuta mwanamume wa nje na kutembea naye wazi wazi. Hatimaye walitengana ila Nasra aliendelea kumfuata fuata mume wake kwa kumuonyesa wazi wazi kwamba anatembea na huyo bwana wake mpya. Inasemekana mume wake ni mpole sana na alijitahidi kumpuuza. Hata hivyo vituko vilizidi kiasi kwamba mume alikuwa anafuatwa hata kwenye baa anakoenda. Na mara zote, Nasra alikuwa akifika na huyo bwana mpya. Na kwamba, alifikia mahali pa kukaa meza ambayo iko karibu na mume wake ili amkere. Pia alianza kufanya vituko ili mume wake wa zamani amfumanie, ili naye aumie kama ilivyotokea kwake!

Inasemekana pia kwamba Nasra alifungua kesi mahakamani kuomba talaka na kwamba wagawane mali za ndoa. Taarifa zinasema kwamba, kabla ya kutengana, mume alikuwa amemnunulia Nasra gari. Pia wakati wanatengana, mwanamke aliondoka na pesa za mume kiasi cha shilingi 10mil. Haya yalizidisha uchungu kwa mume ambaye alianza kuwaambia marafiki zake kwamba atamuua huyo mke kisha naye ajiue.

Siku ya tukio, inasemekana Nasra alimkuta mume wake standi ya bus Bunda na kuanza kumtukana matusi machafu sana, tena mbele ya watu wengi waliokuwepo hapo. Baadhi ya mambo aliyomkashifu ni kwamba mume huyo hana nguvu za kiume za kutosha na pia kuwa watoto waliozaa si wake! Inasemekana yule baba aliondoka kwa muda ili kuepuka shari za mke wake. IHata aliporudi tena baada ya muda kidogo, bado Nasra aliendelea kumtukana. Ndipo mwanamume akamuita apite upande wa pili wa gari ili waongee (wakati wote huo, yule baba alikuwa kwenye gari), na hapo hapo mwanamume aliondoa gari na kumburuza hadi karibia na kituo cha polisi. Alipofika hapo, akamtelekeza pomoja na gari na kupotelea kusikojulikana.

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom