MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Nchi hii ina tabia za hovyo...mtu akishiba tu anaona kayawezea maisha.Duuh...huyu amelewa madaraka
Haswa unapokuwa umepewa Kibuyu cha Asali.Moyo wa mtu ni kiza kinene sana
Pole mzaramo🤣🤣🤣🤣utani Tz ni ruksa usife kwa presha weweUnaleta ukabila kwa hoja za kisiasa kumbuka yule mjinga aliyekuwa akiu-promote ukabila na ukanda alizikwa navyo.
Hajitambui anaona Kama kafika,Angeoña kwa Kafulila muda so mrefu utasikia kajiunga Ngowe.Duuh...huyu amelewa madaraka
Huyu anaongea nini ndani ya wilaya yake ikipigwa mikutano KILA mtaa KWa siku MOJA atafanya nini, mikutano ianzeJoshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya Mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa.
Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe tofauti na hapo atakutana na mkono wa vyombo vya dola.
" Hata CCM hawajawahi kufanya mkutano wa hadhara kwa miaka kadhaa sasa, sio Kinana, sio Shaka wala mimi, kinachofanyika ni ukaguzi wa ilani ya chama, ambapo hata Chadema au ACT wanaweza kufanya sehemu yoyote Ile walipo na serlikali, lkn kwa bahati mbaya hawakufanikiwa kupata" aliongezea Nassari.
Alafu amsterdam amwachie naniLissu aje haraka tuanze kutembelea Mikoa yote tukague uhai wa Chama.
Wazaramo mna maisha poa sana yaani hamna makuu🤣🤣Wazaramo kitu kingine kwanza Mungu wetu sio Pesa kingine tunajua maana Utu huyo anawakilisha mawazo yenu watu Bara kuwa pesa ndio kila kitu...