Nassari: Mikusanyiko isiyo halali haitakiwi, kinachofanywa na CCM ni ukaguzi wa ilani ya chama

Kakabizi Ubongo CCM huyo.
notagain1.png
 
Aisee aliyeshiba hamjui mwenye njaa, mara hii kweli NASSARI amesahau uharari na haki ya kukusanyika?.
 
Joshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya Mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa.
Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe tofauti na hapo atakutana na mkono wa vyombo vya dola.
" Hata CCM hawajawahi kufanya mkutano wa hadhara kwa miaka kadhaa sasa, sio Kinana, sio Shaka wala mimi, kinachofanyika ni ukaguzi wa ilani ya chama, ambapo hata Chadema au ACT wanaweza kufanya sehemu yoyote Ile walipo na serlikali, lkn kwa bahati mbaya hawakufanikiwa kupata" aliongezea Nassari.
Kajamaa kajinga kweli!
 
Mhhh!!! Lissu kaolewa na Amsterdam?
Lissu sio Homo, na ni Mwanaume wa shoka, keshalipwa HAKI zake alizozulumiwa na Mwendazake kushirikiana na Ndugai.

Jemadari ndio Mtanzania pekee ambae alipambana na Mtu aliyetaka kutuletea Utawala wa Kidikteta.

Watanzania walio wengi waliufyata mkia ni Lissu pekee aliyekuwa akiunguruma kama Lion.
 
Joshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya Mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa.
Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe tofauti na hapo atakutana na mkono wa vyombo vya dola.
" Hata CCM hawajawahi kufanya mkutano wa hadhara kwa miaka kadhaa sasa, sio Kinana, sio Shaka wala mimi, kinachofanyika ni ukaguzi wa ilani ya chama, ambapo hata Chadema au ACT wanaweza kufanya sehemu yoyote Ile walipo na serlikali, lkn kwa bahati mbaya hawakufanikiwa kupata" aliongezea Nassari.
Huyu mbilikimo naye ameshajitoa ufahamu
FB_IMG_1589682992908.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Joshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya Mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa.
Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe tofauti na hapo atakutana na mkono wa vyombo vya dola.
" Hata CCM hawajawahi kufanya mkutano wa hadhara kwa miaka kadhaa sasa, sio Kinana, sio Shaka wala mimi, kinachofanyika ni ukaguzi wa ilani ya chama, ambapo hata Chadema au ACT wanaweza kufanya sehemu yoyote Ile walipo na serlikali, lkn kwa bahati mbaya hawakufanikiwa kupata" aliongezea Nassari.
Anajilaani
 
Inashangaza kuona kijana mdogo kama huyo kuanza kulewa madalaka namna hiyo ! Akumbushwe kuwa walikuwepo wengi walevi lakini leo wamenyamaza
 
Nimeshawaeleza watu humu tangia Jana kuwa CCM ndio iliyounda serikali hivyo Ina haki na inafanya kazi ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani yake ya uchaguzi, upinzani usitake kuleta chokochoko zake maana ilikataliwa kwenye uchaguzi mkuu uliiopita,

hivyo isubiri uchaguzi ukifika ikaombe Ridhaa ya wananchi , japo Ni ngumu Sana kwa upinzani kupata kura maana wananchi na watanzania walishawapuuza kwa Sasa kutokana na kukosa Sera na ajenda za kueleweka kwa wananchi
 
Lissu aje haraka tuanze kutembelea Mikoa yote tukague uhai wa Chama.
Alishakubali uchapa kazi wa mh Rais na hata hanaa Sera Wala ajenda ya kuweza kuwashawishi watanzania Hawa wanaomuu ga mkono mh Rais wetu wakaweza kunielewa, Ndio maana unaona kajikalia hukohuko, kaa hapo hapo mpaka lisu aje akuchukue
 
Mimi sibishi Raisi wetu mpendwa anapiga kazi hilo halina ubishi, lakini wasimtishe kuwa Upinzani utamletea matata,

Mbona Rais wetu mpedwa mstaafu Mzee Jakaya Kikwete aliuruhisu Upinzani ustawi, lengo letu tunataka tuingize hata Wabunge 80 wa Upinzani latika Bunge lijalo
Ili Bunge lichangamke.

Na atupatie Katiba Mpya .
 
Mimi sibishi Raisi wetu mpendwa anapiga kazi hilo halina ubishi, lakini wasimtishe kuwa Upinzani utamletea matata,

Mbona Rais wetu mpedwa mstaafu Mzee Jakaya Kikwete aliuruhisu Wastawi tunataka tuingize hata Wabunge 80 wa Upinzani latika Bunge lijalo

Na atupatie Katiba Mpya .
Suala la katiba Kuna kikosi kazi kimeundwa kuratibu maoni kw hiyo nenda ukatoe mawazo yako huko utasikilizwa
 
Joshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya Mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa.
Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe tofauti na hapo atakutana na mkono wa vyombo vya dola.
" Hata CCM hawajawahi kufanya mkutano wa hadhara kwa miaka kadhaa sasa, sio Kinana, sio Shaka wala mimi, kinachofanyika ni ukaguzi wa ilani ya chama, ambapo hata Chadema au ACT wanaweza kufanya sehemu yoyote Ile walipo na serlikali, lkn kwa bahati mbaya hawakufanikiwa kupata" aliongezea Nassari.
Tangu lini mtu anajikagua mwenyewe? Kama kweli ni ukaguzi, kazi hiyo ilipaswa ifanywe na vyama vya upinzani. Kama vile taasisi inakaguliwa na auditors na sio wahasibu wake.

Amandla...
 
Joshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya Mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa.
Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe tofauti na hapo atakutana na mkono wa vyombo vya dola.
" Hata CCM hawajawahi kufanya mkutano wa hadhara kwa miaka kadhaa sasa, sio Kinana, sio Shaka wala mimi, kinachofanyika ni ukaguzi wa ilani ya chama, ambapo hata Chadema au ACT wanaweza kufanya sehemu yoyote Ile walipo na serlikali, lkn kwa bahati mbaya hawakufanikiwa kupata" aliongezea Nassari.
Mwacheni aendelee kujisahau kama sabaya na inaonekana maeneo ya Kanda hizo vijana huwa wanajisahau sana sijui kwa nn lzm Kuna ka ugonjwa kapo huko.na huwa wanajielewa wakitumbukia kwenye mkono wa sheria .
 
Primary menstrual cycle au primary nini bibi?

Huyu dogo wa juzi unadhani Mimi simjui kinda ananuka maziwa ya mama yake mtoto mdogo kabisa
🤪
Umesema ulilala nae usiku ndio nikauliza wapi?
😳😬😜

Ana maanisha alikesha anampigia kampeni Nassari kipindi anapambana na Sio Sumari, uchaguzi wa kwanza kumuingiza bungeni.
 
Back
Top Bottom