Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Ni hatari sana kumuamini mtu mwenye njaa, hawa vijana wanaotoka shule na kujiunga na siasa za vyama hawafai kuaminiwa kabisa, Ni wakati wa kuamini vijana proffesional waliofanyan kazi huku na kule na kumiliki uchumi mkubwa.
Kuwekeza kwa hawa wanasiasa njaa njaa kuna madhara makubwa kwa jamii, wengi hulewa sana madaraka na hela kiasi cha kuwa tayari kufanya lolote lile hata kula mavi na kuyaita keki.
Wanasiasa njaa ni rahisi sana kugeuka maana hawana namna nyingine ya kupata hela au akili mpya ya kutafuta hela, CCM kwa bahati nzuri inawajua vizuri sana na imewafanya uwekezaji mkubwa sana kwa ajili ya hawa watu njaa njaa na waganga wa kienyeji.
Huwezi kukuta mtu aliyewahi kushika na kuitafuta hela kuanzia 200mil kwenda juu nje ya siasa akawa mjinga mjinga hivi.