Nassari: Mikusanyiko isiyo halali haitakiwi, kinachofanywa na CCM ni ukaguzi wa ilani ya chama

Ni hatari sana kumuamini mtu mwenye njaa, hawa vijana wanaotoka shule na kujiunga na siasa za vyama hawafai kuaminiwa kabisa, Ni wakati wa kuamini vijana proffesional waliofanyan kazi huku na kule na kumiliki uchumi mkubwa.

Kuwekeza kwa hawa wanasiasa njaa njaa kuna madhara makubwa kwa jamii, wengi hulewa sana madaraka na hela kiasi cha kuwa tayari kufanya lolote lile hata kula mavi na kuyaita keki.

Wanasiasa njaa ni rahisi sana kugeuka maana hawana namna nyingine ya kupata hela au akili mpya ya kutafuta hela, CCM kwa bahati nzuri inawajua vizuri sana na imewafanya uwekezaji mkubwa sana kwa ajili ya hawa watu njaa njaa na waganga wa kienyeji.

Huwezi kukuta mtu aliyewahi kushika na kuitafuta hela kuanzia 200mil kwenda juu nje ya siasa akawa mjinga mjinga hivi.
 
Ilikuaje ulikesha nae wapi mkuu?

Emu tupe info hapo tuna maelezo hayajajitolosheza

😳πŸ₯Ί

..itakuwa wakati wa kampeni za uchaguzi zilizomuingiza Nassari bungeni kwa mara ya kwanza.

..zilikuwa kampeni ngumu sana na kuna ukatili dhidi ya Chadema ulifanyika na kuna watu waliumia na inasemekana yupo aliyepoteza maisha.

..Sasa Nassari amewasahau waliompigania, ameungana na waliokuwa wakimtesa, na zaidi anaiga lugha zao za tambo na vitisho.
 
Kameru haka analamba Asalii
Bwana

Asali ni tamuuuu weeee is


Nzi angeacha upashukuna angetengeneza asali Nayeye.

Tofauti na sasa anavyoambukiza magonjwa
 
Safi.. mikutano hadi mwaka wa uchaguzi
 
Mungu atawalipa wanachokipanda.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Ulikua primary enzi hizo huwez elewa
Primary menstrual cycle au primary nini bibi?

Huyu dogo wa juzi unadhani Mimi simjui kinda ananuka maziwa ya mama yake mtoto mdogo kabisa
πŸ€ͺ
Umesema ulilala nae usiku ndio nikauliza wapi?
😳😬😜
 
Watu wanapambana aisee.

Na sasa hivi kuna VX Mpya.

Nani asiyezitaka??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…