Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Tena yenye milima na mabondeKama kweli diamond ametelekeza watoto kwa sababu tu ya chuk ya mapenzi, basi anatakiwa amsamehe baba yake kwa kuwa wanapita njia ileile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena yenye milima na mabondeKama kweli diamond ametelekeza watoto kwa sababu tu ya chuk ya mapenzi, basi anatakiwa amsamehe baba yake kwa kuwa wanapita njia ileile
Wenzie sukari nguru wamemtanguliaHuyu bwana si anajiita kwa kujigamba ye n sukar ya warembo
Imekuwaje anachapiwa tena
Sure kiongozi, kama tunampenda diamond kiukweli, afanye kurudiana na zari, siamini katika nyota, ila naamini katika mvuto kwa jamii, diamond anavutia akiwa na Zari, toka waachane, hata ukimuangalia havutiii kama diamond wa Iyena iyena,,,,,,,,,,,,,,sasa mimi na sasambua,,,,,,sasa,,,,,,,huyu kijana walimwabia kuwa amekumbana na gold digger hakuelewa. Na bado wana watoto wawili, usije kuta alishafungishwa ndoa kisheria na issue za kugawana walichochuma pamoja zikiiibua dogo atabakia na 'tetema' pekee.
Kumbuka wakati wakiwa na huyu mama ndipo kijana alipaa zaidi!
DahSasa mkuu hiyo clip umeiona wewe lkn unatuambia sisi tuongezee!!!halafu mtu ushajua ana matatizo nguvu ya kumdiscuss unaitolea wapi!!?au unampenda kimya kimya umekasirika ulichokiona huko kwenye clip!?UMENIPA MASWALI MENGI EWEW KULIKO HIYO CLIP.
Dah! Hapa mtu analalamika anachapiwa na mangi muuza dukaMond analalama kachapiwa na Peter wa
P-Square.... Kaazi kwl kwl..
Kumpenda Diamond ni sawa na kumpenda Rais wako bakti mbaya hua sipendi takataka kama hizo.Sasa mkuu hiyo clip umeiona wewe lkn unatuambia sisi tuongezee!!!halafu mtu ushajua ana matatizo nguvu ya kumdiscuss unaitolea wapi!!?au unampenda kimya kimya umekasirika ulichokiona huko kwenye clip!?UMENIPA MASWALI MENGI EWEW KULIKO HIYO CLIP.
So rais wa nchi na diamond kwako ewew Ni takataka chief!!?Kumpenda Diamond ni sawa na kumpenda Rais wako bakti mbaya hua sipendi takataka kama hizo.
Ukiacha kuvuta sigara au kunywa pombe siku mbili tatu utajua kua huyo mtu ni mshenzi.
Na bado atawanyoosha sana,na Mondi ndio Mwanaume wa Kiafrika anayetakiwa kuigwa kwa jitihada binafsi kikazi mpaka Tabia.Kumjadili huyo huyo mvulana ni kupoteza muda.
Alishawadhalilisha sana toka huko alikoanzia lbd km wengine mmemsahau,,kwa ZARI ni muendelezo wa upumbavu alionao.
[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji13][emoji13][emoji13] kuvaa kikuku hakuna maana hiyo unayoifikiria wewe mjifunze kiswahili aisee.
Kikuku ni urembo wa mwanamke hauna maana nyingine zaidi ya hiyo, ni sawasawa na neno KUDANGA maana yake ni kutafuta mdangaji mtafutaji kama hujui kitu uwe unauliza.
Kutoboa pua, kuvaa hereni n.k kwa tamaduni zetu si vitu vya kufanywa na mwanamume lakini ushawahi kujiuliza kwanini vinafanyika na vijana kibao sasa hivi?
Chris brown muhuni kupitiliza Pusha T mbwa wa America, Meek mill criminal mzuri wa U.S, Birdman na mwanae wa kumlea Lil wayne wote hawa wameshawah kuvaa vikuku nao wako kama unavyodhani?
Uyu mkaka kashakua ni Chocolate favor kabisaaa
Shoga hawi hivihivi mzee anatengenezwaKwani nini kinashindikana[emoji16][emoji16][emoji16], we jamaa bana.
Sijasema ndio hivyo, lakini pia inawezekana.
You went beyond mere stories, good!huyu kijana walimwambia kuwa amekumbana na gold digger hakuelewa. Na bado wana watoto, usije kuta alishafungishwa ndoa kisheria na issue za kugawana walichochuma pamoja zikiibuka dogo atabakia na 'tetema' pekee.
Kumbuka wakati wakiwa na huyu mama ndipo kijana alipaa zaidi!
Wanaume kumjadili mwanaume MADHAIFU yake wakati mnajua alipo na mnajua Akaunti zke HUO ndio umama uliotukuka...Mwanaume wa kweli Hukaa kimya na kama kweli kaamua kumrekebisha muhusika humfata DIRECT...kama pia kaamua kumchana makavu huwa anamfata DIRECT kuneng'eneka huku wakati mwanaume mwenzako anapotea Huo ndio u.JAMES DELICIOUS.Wanaume kumjadili mwanaume nadhaifu yake wakati mnajua alipo na mnajua Akaunti zke HUO ndio umama uliotukuka...Mwanaume wa kweli Hukaa kimya na kama kweli kaamua kumrekebisha muhusika humfata DIRECT...kama pia kaamua kumchana makavu huwa anamfata DIRECT kuneng'eneka huku wakati mwanaume mwenzako anapotea Huo ndio u.JAMES DELICIOUS.