Nassib Abdul a.k.a Diamond Unadhalilisha Wanaume Wenzio

Nassib Abdul a.k.a Diamond Unadhalilisha Wanaume Wenzio

huyu kijana walimwabia kuwa amekumbana na gold digger hakuelewa. Na bado wana watoto wawili, usije kuta alishafungishwa ndoa kisheria na issue za kugawana walichochuma pamoja zikiiibua dogo atabakia na 'tetema' pekee.
Kumbuka wakati wakiwa na huyu mama ndipo kijana alipaa zaidi!
Sure kiongozi, kama tunampenda diamond kiukweli, afanye kurudiana na zari, siamini katika nyota, ila naamini katika mvuto kwa jamii, diamond anavutia akiwa na Zari, toka waachane, hata ukimuangalia havutiii kama diamond wa Iyena iyena,,,,,,,,,,,,,,sasa mimi na sasambua,,,,,,sasa,,,,,,,
 
Mond analalama kachapiwa na Peter wa
P-Square.... Kaazi kwl kwl..
 
Sasa mkuu hiyo clip umeiona wewe lkn unatuambia sisi tuongezee!!!halafu mtu ushajua ana matatizo nguvu ya kumdiscuss unaitolea wapi!!?au unampenda kimya kimya umekasirika ulichokiona huko kwenye clip!?UMENIPA MASWALI MENGI EWEW KULIKO HIYO CLIP.
Dah
 
Kumpenda Diamond ni sawa na kumpenda Rais wako bakti mbaya hua sipendi takataka kama hizo.

Ukiacha kuvuta sigara au kunywa pombe siku mbili tatu utajua kua huyo mtu ni mshenzi.
 
Kumpenda Diamond ni sawa na kumpenda Rais wako bakti mbaya hua sipendi takataka kama hizo.

Ukiacha kuvuta sigara au kunywa pombe siku mbili tatu utajua kua huyo mtu ni mshenzi.
So rais wa nchi na diamond kwako ewew Ni takataka chief!!?
 
Kumjadili huyo huyo mvulana ni kupoteza muda.

Alishawadhalilisha sana toka huko alikoanzia lbd km wengine mmemsahau,,kwa ZARI ni muendelezo wa upumbavu alionao.
[emoji57][emoji57][emoji57]
Na bado atawanyoosha sana,na Mondi ndio Mwanaume wa Kiafrika anayetakiwa kuigwa kwa jitihada binafsi kikazi mpaka Tabia.
 
Jando na unyago mliviita vya kishenzi.......................madhara yake ndio haya
 
[emoji13][emoji13][emoji13] kuvaa kikuku hakuna maana hiyo unayoifikiria wewe mjifunze kiswahili aisee.

Kikuku ni urembo wa mwanamke hauna maana nyingine zaidi ya hiyo, ni sawasawa na neno KUDANGA maana yake ni kutafuta mdangaji mtafutaji kama hujui kitu uwe unauliza.

Kutoboa pua, kuvaa hereni n.k kwa tamaduni zetu si vitu vya kufanywa na mwanamume lakini ushawahi kujiuliza kwanini vinafanyika na vijana kibao sasa hivi?

Chris brown muhuni kupitiliza Pusha T mbwa wa America, Meek mill criminal mzuri wa U.S, Birdman na mwanae wa kumlea Lil wayne wote hawa wameshawah kuvaa vikuku nao wako kama unavyodhani?

kwani kuna ajabu gani kuwa hata wao mashoga wewe unajua siri zao
 
Hilo Jimama linaitwa Kumba Uhange.

Wanawake wa Kiganda hapo Domo alipotea.
Waliopita pita Uganda watanielewa.
 
Y
huyu kijana walimwambia kuwa amekumbana na gold digger hakuelewa. Na bado wana watoto, usije kuta alishafungishwa ndoa kisheria na issue za kugawana walichochuma pamoja zikiibuka dogo atabakia na 'tetema' pekee.
Kumbuka wakati wakiwa na huyu mama ndipo kijana alipaa zaidi!
You went beyond mere stories, good!
 
Wanaume kumjadili mwanaume nadhaifu yake wakati mnajua alipo na mnajua Akaunti zke HUO ndio umama uliotukuka...Mwanaume wa kweli Hukaa kimya na kama kweli kaamua kumrekebisha muhusika humfata DIRECT...kama pia kaamua kumchana makavu huwa anamfata DIRECT kuneng'eneka huku wakati mwanaume mwenzako anapotea Huo ndio u.JAMES DELICIOUS.
 
Wanaume kumjadili mwanaume MADHAIFU yake wakati mnajua alipo na mnajua Akaunti zke HUO ndio umama uliotukuka...Mwanaume wa kweli Hukaa kimya na kama kweli kaamua kumrekebisha muhusika humfata DIRECT...kama pia kaamua kumchana makavu huwa anamfata DIRECT kuneng'eneka huku wakati mwanaume mwenzako anapotea Huo ndio u.JAMES DELICIOUS.
 
Back
Top Bottom