Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Fanya kila namna muoane kabla ya ijumaa ya wiki hii
 
Yaani hata Kama ndio nikitembeze kwa kila mtu et kisa sio
Sasa mdogo wangu..
Unavyokataa kumpa..imagine mmeshaoana unakuta ana kibamia hawezi kukuridhisha utafanyaje?
Hakikisha yaliyomo yamo usije ukajuta baadae.
Au yeye akajuta baada ya ndoa anakuta hauna utamu wowote.

My dear...ndoa ni tendo. Mengine mbwembwe tu.
 
Utasubiri sana, labda wale wanaosali TAG wanaweza kuvumilia mpaka waoe. Hiyo papuchi utazeeka nayo unasubiri 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…