Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Yaani wanaume sijui mpoje yaani kwamba inamaana kwamba kama sina bikra ndio iwe tiketi ya kumpa kila ataeomba sasa nikifanya hivyo si nitajaza kijiji
Hii Sio sahihi hutakiw kuhalalisha uzinzi kisa Sio bikra...utalala Na wangapi assume Mungu kakupamgia uolewe kwenye 30's hapa Kati kila anayekuja akuingie Kisa tu sio bikra mwishowe unafika Kwa mume ushaloose wanaume hawachakai maungo .....endelea Na msimamo Huo
 
Yaani wanaboa sana
 
Maelezo meengi ila Wakyuba tumeshaelewa kwamba utafanya naye mapenzi bila kipingamizi.

Akili za wanawake utasikia "baby promise me kwamba hatutasex"* ila akija sasa ahahaha.

Usituchore hapa!
 
Kama umewahi kulala na mwanaume haustahili ushauri wetu.
No need to teach a fool how to be stupid.

Ushaurii wenu na nani… mbona napewa ushaurii na wenzio au wenzako ni nani humu uwatag kabisa
 
Sawa tatizo wanaume wa siku hizi muna midomo sana ndio maana mnadhalilika sasa mfano nikakupigia simu ukakuta ni mwanamke utaweka wapi hilo komwe lako
Wewe ni mwanamke acha janjajanja au unataka tuweke picha zako na details zako hapa.
Acha ujuaji aisee))
 
Hii Sio sahihi hutakiw kuhalalisha uzinzi kisa Sio bikra...utalala Na wangapi assume Mungu kakupamgia uolewe kwenye 30's hapa Kati kila anayekuja akuingie Kisa tu sio bikra mwishowe unafika Kwa mume ushaloose wanaume hawachakai maungo .....endelea Na msimamo Huo
Ni hivi, hakuna mwanamke anakubali moja kwa moja kwamba anatoa penzi.

Kwa uzoefu wangu ni kwamba huyo jamaa anaenda kupewa penzi na huyu mwanamke.
 
📌📌📌

memes_comedy_tz_20240306_11.jpg
 
Maelezo meengi ila Wakyuba tumeshaelewa kwamba utafanya naye mapenzi bila kipingamizi.

Akili za wanawake utasikia "baby promise me kwamba hatutasex"* ila akija sasa ahahaha.

Usituchore hapa!

Wewe sio wa cuba maana wa Cuba wanajua ninachouliza umejipA ujiko tu ila u cuba huwezi
 
Back
Top Bottom