Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Wewe jamaa unaonekana ni mbishi sasa Kama ananikula si ningesema hapa kwani umeelewa naomba ushaurii wa nini my mbona Kama unataka nitumie manguvu kukuaminisha wakati wa cuba wameshaelewa
Kwani toka lini mkakubali kuliwa?☺️

Sitaki nataka ndiyo za kwenu.

Halafu unaombaje ushauri wa kutoa ama kubana mapaja yako?

Wewe ni mtu mzima ilitakiwa ufanye maamuzi huko huko kwako.

Huku unatafuta majawabu magumu.

NB ushauri huu ni iwapo wewe ni ke kweli maana mwandiko wako hauleweki.
 
Kwani toka lini mkakubali kuliwa?[emoji3526]

Sitaki nataka ndiyo za kwenu.

Halafu unaombaje ushauri wa kutoa ama kubana mapaja yako?

Wewe ni mtu mzima ilitakiwa ufanye maamuzi huko huko kwako.

Huku unatafuta majawabu magumu.

NB ushauri huu ni iwapo wewe ni ke kweli maana mwandiko wako hauleweki.

Nipe tips za kujua mwandiko ni wa kiume o ke maana kwenye daftari tu kuna wanaume wana miandiko ya kike na Kuna wadada wana miandiko ya me

So unipe mbinu za kujua maana umeamisha mada

Nb sijaomba ushaurii wa kutoa ama kubana

Nimeomba namna ya kubana tu na sio kutoa
 
Tatizo vigezo vyangu kwao sivioni mfano mimi sipendii mwanaume mlevi sasa karibu wote wanaonifuata ni walevi nitapendaje huyo mtu
Wanaume wasiokunywa pombe wapo wengi mno...
 
Mbona kwangu siwaoni yaani Kama hanywi basi anavuta bangi
Halafu wanaume huangalia vitu vingi sio sex tu.
Unapoanza kumpa vikwazo msubiri baada ya ndoa ataanza kufikiria huyu anaficha nini..
Mwanaume akujue hata mwili wako unafananaje, harufu yako ipoje..

Sasa mnakutana baada ya ndoa unamuona mwenzako ana harufu kama beberu..my friend..utajua hujui
 
Bora utoe maana unagoma sasa hivi halafu amekuoa ndio mnaanza kusema hakufishi bora kujuana mapema
 
Nina mahusiano mapya na huyo Kijana miezi kama 6 hivi

Sijawah kunyanduana nae na sijawah kumuomba hela kifupi hatujawahi kupeana chochote zaidii ya maneno matupu

Huyo kijana mimi nampenda na ningetamani awe mume hapo baadae Kama Mungu akipenda

Sasa ni hivi anakuja huku nilipo Kama unavojua lazima atake papuchi maana anakuja kwaajili yangu

Nipeni mbinu ya kumkataa nisilale nae yaani nisifanye nae sex… ni hivi sitaki kusex nae kwa sasa na wala sitaki pesa yake yote ni kwa kuwa Sina uhakika Kama tutaoana sasa kuvulia vulia wanaume chupi sitaki

Yaani nasubirii awe mume ndio niMpe tunda

Ushaurii tafadhar namna ya kumkacha
Sasa mapenzi gani hayo?? Hutaki hela yake wala hutaki kunyanduana,,, wewe hujielewi. Kunyanduana ni muhimu kabla ya kuona. Lazima kutest mitambo, mpe tunda acha ushamba. Na usirudi tena kuomba ushauri wa kipuuzi kama huu hapa, kuna mambo ya muhimu ya kujadili humu JF.
 
Back
Top Bottom