Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Labda una hoja lakini utasubiri sana kwa mtindo huo.Siyo sijiamini dear mambo yamebadilika siku hizi mtu anakudanganya anakupendaa kumbe ana upwiru akipiga anapita hivi sasa ndugu nitatifuliwatifuliwa na kila mwanaume?
Halafu nikwambie tu kwamba mwanaume anayekupenda utamjua tu maana na wewe utafeel kumpenda.
Tatizo unasubiri upendwe..wewe hutaki kupenda?
Utafikisha 30 ndo uanze kusema nataka mwanaume yoyote yule sichagui.