Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wanadai game saa 2Mbona hakuna game updates wazee
Game inaendelea ukoKuna watu wanadai game saa 2
Uko sahihi kwa 100% Mkuu. Anakomolewa.Dah yule dogo kashakuwa mhanga wa siasa za mpira wa bongo.
umenifutahisha mkurugenzi,Iaminini na Ichukueni hii kwa 100% kwani GENTAMYCINE nikiingia Chimbo nikiibuka nakuja na Info ya uhakika ninayopewa na Wahusika au walio karibu na Mhusika / Wahusika.
Ni kwamba Mkurugenzi wa Ufundi ( TD ) wa TFF Osxar Mirambo kutokana na Uyanga wake anatumika kwa kupewa Bakshishi ( Kipoozeo ) na Kiongozi wa Juu wa Klabu ya Yanga SC ( mwenye Chuki na Kisasi kwa Feitoto ), Tajiri Mmoja mkubwa ( ambaye Kampuni yake kwa sasa imepewa Tenda na Rais Tshishekedi wa Congo DR kusafirisha Silaha zao kutoka Bandari ya Dar es Salaam ) na Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Serikalini ( mwenye Mwanya mkubwa kama Shimo la Panya ) ili tu ahakikishe Mchezaji Feisal Salum 'Feitoto' haitwi Kikosoni Taifa Stars ili Kuufifisha Umaarufu na Umuhimu wake katika Timu ya Taifa ( Taifa Stars )
Ni Mpumbavu na Mwendawazimu tu pekee ndiyo kwa Kiwango Kikubwa alichonacho kwa sasa Feitoto, Ufungaji wake wa Magoli huku kwa sasa akiwa ni wa Pili nyuma ya Jean Othos Baleke na Kipaji Kikubwa na cha Kipekee alichonacho ataunga mkono kwa Yeye kutoitwa Kikosini Taifa Stars ila kwa akina GENTAMYCINE tunaojua Mpira tunakataa hi Hujuma ya Kimakusudi inayofanywa dhidi yake ili tu Kumkomoa Kijana wa Watu
Mkurugenzi wa Ufundi ( TD ) Oscar Mirambo tunakuonya badilika upesi kwani kwa Leo GENTAMYCINE nimeanza na hili ila nina Faili lako la Makandokando yako hapa TFF na kwanini unatumia Nguvu yako ya kuwa TD na Boss wa Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche kumpangia Wachezaji wa Kuwaita Taifa Stars na kwanini Kapombe na Tshabalala hawajaitwa kwa mara nyingine tena.
Nakuweka Kiporo Kwanza, ila fahamu tu ya kwamba kama GENTAMYCINE napewa Kutwa Taarifa za Ndani ( Jikoni ) za Simba na Yanga na huwa nazileta / nazimwaga hadharani hapa JamiiForums basi hata na Taarifa za Kukuhusu nazo huwa napewa tena na Watu unaowaamini na uko nao Kutwa ( 24/7 ) katika Shughuli zako.
Haya haya Wazee wa Kumkopi GENTAMYCINE The King, Purely Talented Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer hapa JamiiForums akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe, Watangazaji wa Redio na Wachambuzi wa Michezo bila ya Kuwasahau Bloggers mkiichukua hii taarifa msisahau kutoa Credits Kwangu na hasa hasa kwa Mtandao wangu huu pendwa wa JamiiForums sawa?
Hatimaye nimeshaitekeleza ile Ahadi.
ANGALIZO
Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.
Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.
Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.
Nimemaliza.
Cc: PakiJinja
Mama Samia yupo ataingilia kati.....atawaletea na Kocha toka Zenji...Uko sahihi kwa 100% Mkuu. Anakomolewa.
Wajinga hao....ndio wale wa kumpangia Kocha..Nilitegemea kwenye huu uzi nikute uchambuzi murua juu ya kiwango na ubora wa Feisal kiasi cha kuwa ni lazima aitwe lakini badala yake naona hisia zaidi zimetawala. Je Feisal ana kiwango kwa sasa?
Ungekuwa kocha kati ya Mudathir AU Mzamiru ungemuacha nani acheze aitwe yeye, yaani Fei kufunga Hattrick timu ya wachezaji saba aitwe national team? Wakati kunawezake wanacheza CAf champions league group stages na wanapata game time nzuri,tuache ushamba na ujuaji mwingi sana.Angeisaidia Azam kufuzu CAF CONFIDERATION CUP..... tuache porojo.Dah yule dogo kashakuwa mhanga wa siasa za mpira wa bongo.
Umbumbumbu ni mwingi sana hata Rage alitoa tahadhariNilitegemea kwenye huu uzi nikute uchambuzi murua juu ya kiwango na ubora wa Feisal kiasi cha kuwa ni lazima aitwe lakini badala yake naona hisia zaidi zimetawala. Je Feisal ana kiwango kwa sasa?
Wewe umezuiwa kuja na huo Uchambuzi wa Kiwango cha Feitoto mpaka utake Mimi ndiyo niufanye na niulete hapa?Nilitegemea kwenye huu uzi nikute uchambuzi murua juu ya kiwango na ubora wa Feisal kiasi cha kuwa ni lazima aitwe lakini badala yake naona hisia zaidi zimetawala. Je Feisal ana kiwango kwa sasa?
Ila mkuu umeongozwa na mapenzi yako juu ya Fei lakini hana kiwango cha kuitwa timu ya taifa kwa sasa labda tumpe muda.Wewe umezuiwa kuja na huo Uchambuzi wa Kiwango cha Feitoto mpaka utake Mimi ndiyo niufanye na niulete hapa?
Huna Akili.