Nasubiri kuona adhabu kali kwa Moloko na Gamondi kwa waliyokuwa wakiyafanya jana uwanjani kabla mchezo haujaanza

MPAKA USEME
 
Bado Hamjasema [emoji1]
 
Moloko mwenyewe alicheza namba ngapi?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Aaahaaa
 
Jumamosi usiku .. kamati ya ufundi ilikua busy sana uwanja wa taifa mageti yote yakuingilia.
 
Ni michawi kama michawi mingine...
 
Utakuja kufa kwa kihoro wewe bwege mtoezeni sasa mbona ujatuambia Master Gamondi alifanya kipi?
 
Bado najiuliza wale walikuwa wanasema Simba wachawi bado ule msemo upo kwa matukio Yale ya jumapili
 
KABLA YA DERBY YA KARIAKOO
ROBERTINHO "I'm the king of derby and big match and I like playing big match/ mm ni mfalme wa gemu kubwa na napenda kucheza mechi kubwa"
Robertinho hapa alikuwa kashiba makande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…