Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MPAKA USEMEKwanza, Yanga walipitia mlango usiokuwa rasmi.
Pili, Wakati wanakagua uwanja kuna vitu vilikuwa vinamwagwa uwanjani halafu vinashindiliwa
Moloko alionekana katika kibendera akikanyaga vitu vilivyokuwa vinamwagwa na mwenzake.
Golini upande wa kusini wakawa wanamwaga vitu na kuvikanyaga
Hayo ndiyo niliyoyaona jana achilia mbali aziz key kuambiwa awe wa mwisho kuingia uwanjani, sijasahau basi lao hawakupanda jana wakapanda vigari vingine vya ajabu, haya yote wenye mpira wanaona.
Tunasubiri
Kweli Elimu muhimuElimu
Elimu
Elimu
Bado Hamjasema [emoji1]Kwanza, Yanga walipitia mlango usiokuwa rasmi.
Pili, Wakati wanakagua uwanja kuna vitu vilikuwa vinamwagwa uwanjani halafu vinashindiliwa
Moloko alionekana katika kibendera akikanyaga vitu vilivyokuwa vinamwagwa na mwenzake.
Golini upande wa kusini wakawa wanamwaga vitu na kuvikanyaga
Hayo ndiyo niliyoyaona jana achilia mbali aziz key kuambiwa awe wa mwisho kuingia uwanjani, sijasahau basi lao hawakupanda jana wakapanda vigari vingine vya ajabu, haya yote wenye mpira wanaona.
Tunasubiri
Sikujua kwamba simba ni wepesi kuchanganyikiwa kiasi hiki
Moloko mwenyewe alicheza namba ngapi?Kwanza, Yanga walipitia mlango usiokuwa rasmi.
Pili, Wakati wanakagua uwanja kuna vitu vilikuwa vinamwagwa uwanjani halafu vinashindiliwa
Moloko alionekana katika kibendera akikanyaga vitu vilivyokuwa vinamwagwa na mwenzake.
Golini upande wa kusini wakawa wanamwaga vitu na kuvikanyaga
Hayo ndiyo niliyoyaona jana achilia mbali aziz key kuambiwa awe wa mwisho kuingia uwanjani, sijasahau basi lao hawakupanda jana wakapanda vigari vingine vya ajabu, haya yote wenye mpira wanaona.
Tunasubiri
AaahaaaKwanza, Yanga walipitia mlango usiokuwa rasmi.
Pili, Wakati wanakagua uwanja kuna vitu vilikuwa vinamwagwa uwanjani halafu vinashindiliwa
Moloko alionekana katika kibendera akikanyaga vitu vilivyokuwa vinamwagwa na mwenzake.
Golini upande wa kusini wakawa wanamwaga vitu na kuvikanyaga
Hayo ndiyo niliyoyaona jana achilia mbali aziz key kuambiwa awe wa mwisho kuingia uwanjani, sijasahau basi lao hawakupanda jana wakapanda vigari vingine vya ajabu, haya yote wenye mpira wanaona.
Tunasubiri
Kuna mmoja alitolewa kinguvu na djiaraAfu sub zenu zilikuwa zinafanyika muda gani. Wachezaji wenu hatukuwaona wakitoka wala kuingia.
Ni michawi kama michawi mingine...
Akikujibu nitagHayo yanamahusiano gani na 5G?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]