inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Alianza Nyerere kumkataa,utajiri wa kutisha siku Chache baada ya kupanda farasi wa uongoziWeka ushahidi mezani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alianza Nyerere kumkataa,utajiri wa kutisha siku Chache baada ya kupanda farasi wa uongoziWeka ushahidi mezani.
Embu acheni ushamba na ujinga mwakyembe alitimiza majukumu yake aliteuliwa kufanya uchunguzi na akafanya, kwani huyo lowasa kafanya mambo mangapi mabaya hadi leo kafa kila mtu aliyetofautiana naye awe mbaya ??? Tuache kuexagerate mambo mtu kafa tumuache apumzike siyo kulaumu kila mtu aliyetofautiana nae kwenye siasaWanyakyusa wamefanya mengi ya kishujaa nchi hii yanayokumbukwa. Lakini Dr. Harrison Mwakyembe alifanya jambo ambalo mpk kesho linashikilia rekodi ya ushubwada.
Alikubali kutumika na maadui/wasaliti wa Lowasa kufanya kazi haramu ya kumuangushia zigo la ufisadi kisha kumchafua.
Na mhe. Rafael Chegeni anasema isingekuwa ajali ya kisiasa Lowasa angeishi zaidi. Bila shaka ajali ya kisiasa anayoirejelea ni hii ya kuangushiwa zigo la ufisadi.
Harrison Mwakyembe tunamsubiri kwa hamu kubwa kwenye msiba wa Lowasa ili kuona na kusikia atasema nn kwa muungwana huyu aliyetuacha??
Kama hana neno, basi ni vema atoke hadharani atubu. Vinginevyo Karma haitamuacha salama.
Mnahamisha goli,kenge nyie,wa kulaumiwa ni JAKAYA KIKWETEWanyakyusa wamefanya mengi ya kishujaa nchi hii yanayokumbukwa. Lakini Dr. Harrison Mwakyembe alifanya jambo ambalo mpk kesho linashikilia rekodi ya ushubwada.
Alikubali kutumika na maadui/wasaliti wa Lowasa kufanya kazi haramu ya kumuangushia zigo la ufisadi kisha kumchafua.
Na mhe. Rafael Chegeni anasema isingekuwa ajali ya kisiasa Lowasa angeishi zaidi. Bila shaka ajali ya kisiasa anayoirejelea ni hii ya kuangushiwa zigo la ufisadi.
Harrison Mwakyembe tunamsubiri kwa hamu kubwa kwenye msiba wa Lowasa ili kuona na kusikia atasema nn kwa muungwana huyu aliyetuacha??
Kama hana neno, basi ni vema atoke hadharani atubu. Vinginevyo Karma haitamuacha salama.
Baada ya uchunguzi na kubaini kuwa ni fisadi hatua gani za kisheria zikichukuliwa? Huoni kuwa Mwakyembe na waliomtuma walitumianfedha za umma vibaya?acheni ushamba na ujinga mwakyembe alitimiza majukumu yake aliteuliwa kufanya uchunguzi na akafanya, kwani huyo lowasa kafanya mambo mangapi mabaya hadi leo kafa kila mtu aliyetofautiana naye awe mbaya ???
Inashangaza watu wanavyowananga watu waliopishana na lowasa huko nyuma wakatibwanajua wazi alikuwa mwanasiasa na kutofautiana kwenye siasa au kazi ni jambo la kawaida, siyo tu lowasa kwa tanzania hatujawa na utamaduni wa kupelekana mahakamani especally kwa viongozi wa nchi, huwa wanawajibishana kisiasa na hakuna linaloendelea after that, thats our weaknessBaada ya uchunguzi na kubaini kuwa ni fisadi hatua gani za kisheria zikichukuliwa? Huoni kuwa Mwakyembe na waliomtuma walitumianfedha za umma vibaya?
Maana walienda mpk Marekani kutafuta taarifa za Richmond, halafu wakaishia kusoma ripoti tu, lkn mahakamani hawakumpeleka!
Mwisho jifunze kujenga hoja bila kutumia maneno ya kukarahisha. Kama ni mzima kiakili utazingatia ushauri huu.