Nasubiri kwa hamu hotuba ya Harrison Mwakyembe aliyetumika kumchafua Lowassa kwenye sakata la Richmond

Embu acheni ushamba na ujinga mwakyembe alitimiza majukumu yake aliteuliwa kufanya uchunguzi na akafanya, kwani huyo lowasa kafanya mambo mangapi mabaya hadi leo kafa kila mtu aliyetofautiana naye awe mbaya ??? Tuache kuexagerate mambo mtu kafa tumuache apumzike siyo kulaumu kila mtu aliyetofautiana nae kwenye siasa
 
Mnahamisha goli,kenge nyie,wa kulaumiwa ni JAKAYA KIKWETE
 
acheni ushamba na ujinga mwakyembe alitimiza majukumu yake aliteuliwa kufanya uchunguzi na akafanya, kwani huyo lowasa kafanya mambo mangapi mabaya hadi leo kafa kila mtu aliyetofautiana naye awe mbaya ???
Baada ya uchunguzi na kubaini kuwa ni fisadi hatua gani za kisheria zikichukuliwa? Huoni kuwa Mwakyembe na waliomtuma walitumianfedha za umma vibaya?

Maana walienda mpk Marekani kutafuta taarifa za Richmond, halafu wakaishia kusoma ripoti tu, lkn mahakamani hawakumpeleka!

Mwisho jifunze kujenga hoja bila kutumia maneno ya kukarahisha. Kama ni mzima kiakili utazingatia ushauri huu.
 
Inashangaza watu wanavyowananga watu waliopishana na lowasa huko nyuma wakatibwanajua wazi alikuwa mwanasiasa na kutofautiana kwenye siasa au kazi ni jambo la kawaida, siyo tu lowasa kwa tanzania hatujawa na utamaduni wa kupelekana mahakamani especally kwa viongozi wa nchi, huwa wanawajibishana kisiasa na hakuna linaloendelea after that, thats our weakness
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…