Nasubiri kwa hamu kuona pale Jangwani hali itakavyokuwa baada ya mvua kunyesha

giphy.gif
 
Yamapata mwaka sasa kuna magreda yamekaa tu pale jangwani. Yakienda kushoto na kuhamia kulia .mara kati kati. Nasubiri kuona je! Haka kamvua ka kawaida hakato payumbisha. Na pakiyumba nini itakua shida?
Mara nyingine tuheshimu juhudi za watu. Wale jamaa wanatoa mchanga na kipindi hiki maji hayajajaa kabisa pale Jangwani. Wanastahili pongezi.
 
Yamapata mwaka sasa kuna magreda yamekaa tu pale jangwani. Yakienda kushoto na kuhamia kulia .mara kati kati. Nasubiri kuona je! Haka kamvua ka kawaida hakato payumbisha. Na pakiyumba nini itakua shida?
Barabara ya mwendo kasi Mapipa - Karume -KKoo ikiisha watakuwa wamesolve 70% ya tatizo la foleni pale jangwani wakati wa mvua.
 
Yamapata mwaka sasa kuna magreda yamekaa tu pale jangwani. Yakienda kushoto na kuhamia kulia .mara kati kati. Nasubiri kuona je! Haka kamvua ka kawaida hakato payumbisha. Na pakiyumba nini itakua shida?
... hayapo bure pale; yanalipiwa kwa kila lisaa yanapokuwa pale; yawe kimya au yananguruma account inasoma! Shauri yako; endelea "kusubiri kwa hamu kuona".
 
Ulaji wa watu ule, jamaa wameamua kuhamishia mitambo Site kabisa, yaani mvua hii kwao ni baraka kubwa sana, emergency procurement inafanya kazi
Yamapata mwaka sasa kuna magreda yamekaa tu pale jangwani. Yakienda kushoto na kuhamia kulia .mara kati kati. Nasubiri kuona je! Haka kamvua ka kawaida hakato payumbisha. Na pakiyumba nini itakua shida?
 
Tupate matangazo Kidogo

Leo katika Bunge.
Mweshimiwa Spikaaaaaaaaaaa

SWALI LA NYONGEZA: Mbunge wa Kongwa tafadhali.

Mheshimiwa Sipika: Kwa niaba ya wananchi wa Kongwa, naomba kuuliza swali la nyongeza kwa waziri wa fedha kama ifuatavyo:-

Je mpaka sasa serikali imeshakopa nje ya nchi jumla ya shilingi ngapi, na serikali italipi lini ili kuepuka nchi kupigwa mnada..?

MAJIBU MHESHIMIWA WAZIRI TAFADHALI.
😄😄😄
 
Back
Top Bottom