Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Ndiyo hawa wanasema kuwekwe daraja, wakati miaka ya Nyuma mvua zinanyesha nyingi na hakuna madhara makubwa kama hivi sasa. Ule mto wameharibu channel yakeWakuja wengi hawajui historia ya Hilo eneo wala kina halisi cha huo mto.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app