Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Ulaji wa watu ule.. Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yakweYamapata mwaka sasa kuna magreda yamekaa tu pale jangwani. Yakienda kushoto na kuhamia kulia .mara kati kati. Nasubiri kuona je! Haka kamvua ka kawaida hakato payumbisha. Na pakiyumba nini itakua shida?
Ahahaha!Yakienda kushoto na kuhamia kulia
Watu wa manispaa na jiji,Pale ni mradi wa watu aisee, ukitaka kupajenga unapigwa kisonono unakufa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mara nyingine tuheshimu juhudi za watu. Wale jamaa wanatoa mchanga na kipindi hiki maji hayajajaa kabisa pale Jangwani. Wanastahili pongezi.Yamapata mwaka sasa kuna magreda yamekaa tu pale jangwani. Yakienda kushoto na kuhamia kulia .mara kati kati. Nasubiri kuona je! Haka kamvua ka kawaida hakato payumbisha. Na pakiyumba nini itakua shida?
Wakitoa ule mchanga huwa wanauweka wapi?Mara nyingine tuheshimu juhudi za watu. Wale jamaa wanatoa mchanga na kipindi hiki maji hayajajaa kabisa pale Jangwani. Wanastahili pongezi.
UnauzwaWakitoa ule mchanga huwa wanauweka wapi?
Barabara ya mwendo kasi Mapipa - Karume -KKoo ikiisha watakuwa wamesolve 70% ya tatizo la foleni pale jangwani wakati wa mvua.Yamapata mwaka sasa kuna magreda yamekaa tu pale jangwani. Yakienda kushoto na kuhamia kulia .mara kati kati. Nasubiri kuona je! Haka kamvua ka kawaida hakato payumbisha. Na pakiyumba nini itakua shida?
... hayapo bure pale; yanalipiwa kwa kila lisaa yanapokuwa pale; yawe kimya au yananguruma account inasoma! Shauri yako; endelea "kusubiri kwa hamu kuona".Yamapata mwaka sasa kuna magreda yamekaa tu pale jangwani. Yakienda kushoto na kuhamia kulia .mara kati kati. Nasubiri kuona je! Haka kamvua ka kawaida hakato payumbisha. Na pakiyumba nini itakua shida?
Ngoja nikipita nitawauliza.Wakitoa ule mchanga huwa wanauweka wapi?
Wakuja wengi hawajui historia ya Hilo eneo wala kina halisi cha huo mto.Pale hakuhitaji daraja, ule mto ni wa kufukuliwa tu kina chake. Kila kitu kitakuwa sawa, pale takataka zimeziba sana sana. Zikitoka na ikabaki channel halisi, kutarudi kama zamani
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Yamapata mwaka sasa kuna magreda yamekaa tu pale jangwani. Yakienda kushoto na kuhamia kulia .mara kati kati. Nasubiri kuona je! Haka kamvua ka kawaida hakato payumbisha. Na pakiyumba nini itakua shida?
Zile graders kuwepo pale ni posho za watu zile! Ukishoboka lazma udaje๐Wenye ma greda wameamua kuweka kabisa na kaofisi kao ka Container pale, wanafanya kazi ya kujaza maji kwenye tenga la nyanya.