Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ndugu zangu tusipige tu kelele kama watu wasiokuwa na mwelekeo bali tulitazame sakata la Wafanya biashara wa kariakoo kwa Angle kubwa ikiwemo athari za Kiuchumi, kisiasa na kiusalama ktk Nchi.
Natamani kusikia yule mtaalam wa uchambuzi wa siasa za kiintelijensia ya uchumi (financial matters) na kidola.
Hapa lazima tuangazie kama hakuna kichomi kweli kimetuingilia au it just happened tu?
Maana katika huu ukanda wa Afrika mashariki kuna ushindani mkubwa wa kiuchumi na miji na majiji yanaokaribiana uwezo na Dar Es Salaam.
Tusichukulie mambo poa.
Karibu Yerricko Nyerere tunatamani kukusikia neno lako.