Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Sawa ngoja tusikilize wataalam wengine wanasemajeUsimsubiri YERRICKO elewa kwamba CCM ina watu dhaifu sana kufikiria na kama haitoshi kuna wachache wanafikiria kwa maskahi yao na sio maslahi ya Taifa. Sheria walitunga wenyewe licha ya wadau kutoa maoni yao wakati muswada unaandaliwa leo hii sheria inaanza kutekelezwa inaleta mgogoro hao hao CCM wanakuja kuitengua sasa unadhami CCM inatumia akili au tope??????
Mambi ni mengi muda mchache sanaUsimsubiri YERRICKO elewa kwamba CCM ina watu dhaifu sana kufikiria na kama haitoshi kuna wachache wanafikiria kwa maskahi yao na sio maslahi ya Taifa. Sheria walitunga wenyewe licha ya wadau kutoa maoni yao wakati muswada unaandaliwa leo hii sheria inaanza kutekelezwa inaleta mgogoro hao hao CCM wanakuja kuitengua sasa unadhami CCM inatumia akili au tope??????
Kuna mwamba alisem alipewa Bandari ya Dar anaweza kuilisha afrika nzima bure🤣🤣Ndugu zangu tusipige tu kelele kama watu wasiokuwa na mwelekeo bali tulitazame sakata la Wafanya biashara wa kariakoo kwa Angle kubwa ikiwemo athari za Kiuchumi, kisiasa na kiusalama ktk Nchi.
Natamani kusikia yule mtaalam wa uchambuzi wa siasa za kiintelijensia ya uchumi( financial matters) na kidola.
Hapa lazima tuangazie kama hakuna kichomi kweli kimetuingilia au it just happened tu?
Maana katika huu ukanda wa Afrika mashariki kuna ushindani mkubwa wa kiuchumi na miji na majiji yanaokaribiana uwezo na Dar Es Salaam.
Tusichukulie mambo poa.
Karibu Yerricko Nyerere tunatamani kukusikia neno lako.
Naona Yericko kapoteaUsimsubiri YERRICKO elewa kwamba CCM ina watu dhaifu sana kufikiria na kama haitoshi kuna wachache wanafikiria kwa maskahi yao na sio maslahi ya Taifa. Sheria walitunga wenyewe licha ya wadau kutoa maoni yao wakati muswada unaandaliwa leo hii sheria inaanza kutekelezwa inaleta mgogoro hao hao CCM wanakuja kuitengua sasa unadhami CCM inatumia akili au tope?
HakikaNdugu zangu tusipige tu kelele kama watu wasiokuwa na mwelekeo bali tulitazame sakata la Wafanya biashara wa kariakoo kwa Angle kubwa ikiwemo athari za Kiuchumi, kisiasa na kiusalama ktk Nchi.
Natamani kusikia yule mtaalam wa uchambuzi wa siasa za kiintelijensia ya uchumi (financial matters) na kidola.
Hapa lazima tuangazie kama hakuna kichomi kweli kimetuingilia au it just happened tu?
Maana katika huu ukanda wa Afrika mashariki kuna ushindani mkubwa wa kiuchumi na miji na majiji yanaokaribiana uwezo na Dar Es Salaam.
Tusichukulie mambo poa.
Karibu Yerricko Nyerere tunatamani kukusikia neno lako.
leo kimeshushwa ili kusherehekea ushindi wa Yanga [emoji38][emoji38][emoji38]Andaa elfu 80 ukanunue kitabu
[emoji1787][emoji1787]Ndugu zangu tusipige tu kelele kama watu wasiokuwa na mwelekeo bali tulitazame sakata la Wafanya biashara wa kariakoo kwa Angle kubwa ikiwemo athari za Kiuchumi, kisiasa na kiusalama ktk Nchi.